Hasheem Thabit, kumbuka nyumbani ule mema ya nchi

Dah !!!!!!! Jamaa mmedharau sana 😅😅😅😅😅😅

Mkuu hela ya kutoa tu bila kuingiza hua inakata ghafla sana bila kutegemea! Hasa kwa lifestyle ya watu maarufu. Kuna msanii mmoja mkubwa wa marekani alikua anaelezea jinsi alivyofilisika mpaka akabaki na dola 100 pekee kwenye akaunti ndio nilishangaa. Mi nakuambia Hashimu hana 10m cash hapo alipo kwa sasa 😀
 
😅😅😅😅 aisee
 
Hahaha nakubaliana na wewe,jamaa anapumulia mashine.
 
Hakuringa.
Hiyo lugha kumbuka aliondoka bongo akiwa mdogo na kule alikuwa anaongea North American English kwa masaa yote kwa miaka kadhaa lazima aliathirika uongeaji.

Watu kama ninyi mpo tu kusubria watu washindwe kitu ili museme "nilijua tu atashindwa".

Ulikuwa wapi au ulichukua hatua gani kumshauri ili asishindwe na kufikia hapo alipo sasa?
 
Daah well said bro , people are so negative sijui kwann ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…