Hasheem Thabit, kumbuka nyumbani ule mema ya nchi

Dah !!!!!!! Jamaa mmedharau sana 😅😅😅😅😅😅

Mkuu hela ya kutoa tu bila kuingiza hua inakata ghafla sana bila kutegemea! Hasa kwa lifestyle ya watu maarufu. Kuna msanii mmoja mkubwa wa marekani alikua anaelezea jinsi alivyofilisika mpaka akabaki na dola 100 pekee kwenye akaunti ndio nilishangaa. Mi nakuambia Hashimu hana 10m cash hapo alipo kwa sasa 😀
 
😅😅😅😅 aisee
 
Mkuu watu hawajui jinsi ambavyo ni rahisi kwa mtu kama yule kufilisika. Hana investment yoyote, hana kitegauchumi, hana biashara, hana assets, hana chochote kinachomuingizia kipato zaidi ya huo uchezaji! Na hakuna anaejua kama kweli kwa sasa anacheza au anauza supermarket. Mimi bet yangu ni kwamba jamaa hana 10m cash kwenye akaunti kwa sasa..
Hahaha nakubaliana na wewe,jamaa anapumulia mashine.
 
Niliwahi kumsikiliza alirudi likizo,alikuwa anaongea Kiswahili cha Marekani ,nilishangaa sana,nilimuona ana majivuno,limbukeni,...Kitaalamu tunasema Hajitambui(sijui sasa) Ingekuwa ni maajabu makubwa kama angeendelea kutamba kwenye kile kilichomuinua,kwa kiwango kile cha ushamba!
Hakuringa.
Hiyo lugha kumbuka aliondoka bongo akiwa mdogo na kule alikuwa anaongea North American English kwa masaa yote kwa miaka kadhaa lazima aliathirika uongeaji.

Watu kama ninyi mpo tu kusubria watu washindwe kitu ili museme "nilijua tu atashindwa".

Ulikuwa wapi au ulichukua hatua gani kumshauri ili asishindwe na kufikia hapo alipo sasa?
 
Daah well said bro , people are so negative sijui kwann ?
 
Back
Top Bottom