Hashem Safieddine mpwa wa Nasrallah ambae amechaguliwa kua kiongozi mpya wa Hizbolah ameuwawa na majeshi ya Israel masaa machache baada ya kuchaguliwa

Hashem Safieddine mpwa wa Nasrallah ambae amechaguliwa kua kiongozi mpya wa Hizbolah ameuwawa na majeshi ya Israel masaa machache baada ya kuchaguliwa

Yaani jamaa waliwatrack movements zao zote ziko monitored,ghala zao za silaha ziko demolished na wanasoma trend yao kwa hiyo wanawadukua kama kuku wa mdondo
Sasa hizi ni sifa dah! Hata kuhutubia hajafanikiwa. Inavyoonekana ndani ya Hezbola wamepenyezwa mamluki wengi sana. Siri na movement zote inaonekana ziko monitored kisawasaw
 
Ila duniani kuna watu wana sura ngumu. Hii njemba si hata hao bikra watamuogopa huko kuzimu.

Screenshot_20240929-130022_Quora.jpg


Nyau de adriz
 
Neta anakwambia hadi mwakani anataka pasiwe na kundi lingine lolote hizo bunker buster hadi Sasa Wana order kutoka Kila pande ya dunia
Saudia anazitaka nyingi
Saudia anapigania uchumi hii nimeielewa na hataki magaidi kwake
 
Back
Top Bottom