Hashem Safieddine mpwa wa Nasrallah ambae amechaguliwa kua kiongozi mpya wa Hizbolah ameuwawa na majeshi ya Israel masaa machache baada ya kuchaguliwa

May all souls find enlightmex ,

Aise mwaka huu waarabu maji wataita mma. Yani ni bampa to bampa Mayahudi wachafukwa wameamua kuonyesha nani ni baba na mtoto ni nani adabu ifuate mkondo wake.

View attachment 3110149

Wangefanya kama wenzao Hamas. Kuna kipindi yule kiongozi wa Hamas aliyekuwa mlemavu alikuwa akiitwa Ahmed Yassin apouawa March 22, 3004, Hamas haraka wakateua Abdel Aziz al-Rantisi siku iliyofuata yaani 23 March, 2004.
Aliongoza kwa siku 24 tu ilipofika April 17, 2004 Israel walimuua.

Kuona hivyo Hamas wakasema hawatawatsngaza viongozi wao, ikabaki kuwa siri but yet Israel ilikuja kumgundua kuwa ni Ismail Heniye na alikuwa akiishi Doha.

Itabidi Hezbollah wakimteua mwingine wafanye siri🤣 na wawaandikie barua Iran kumtambulisha
 
ni kweli Hii iliwatokea Hamas
 
Hapana jamani, hapana . hata kama wamechafukwa hii taarifa naomba Moderator et al muangalie. navyojua Waisrael huwa wanamuua mtu ambaye atakuwa amesema au kufanya jambo baya kwao. sasa Huyu jamaa kateuliwa jana tu. jana tu. haiwezekani leo Israel wamuue. naomba mods mkanushe hii taarifa. Si kweli.

Nimeshtuka sana sana kusoma huo uzi humu. hebu hakikisheni please. Mtuhakikishie Umma wetu kuwa huyu ndugu yetu yu salama salimini, Hatutaki vita. tunataka amani mashariki ya kati.
 
Israel wataje demand zao wanazohitaji wapewe chapu dunia itulie kidogo sasa
Demand yao mbona ndogo tu.. hawataki kushambuliwa kwenye ka nchi chao kadogo.. ambacho bado kuna watu wanataka wawapokonye
 
Hapana jamani, hapana . hata kama wamechafukwa hii taarifa naomba Moderator et al muangalie. navyojua Waisrael huwa wanamuua mtu ambaye atakuwa amesema au kufanya jambo baya kwao. sasa Huyu jamaa kateuliwa jana tu. jana tu. haiwezekani leo Israel wamuue. naomba mods mkanushe hii taarifa. Si kweli.

Nimeshtuka sana sana kusoma huo uzi humu. hebu hakikisheni please. Mtuhakikishie Umma wetu kuwa huyu ndugu yetu yu salama salimini, Hatutaki vita. tunataka amani mashariki ya kati.
Halafu mwenyewe masikini alikuwa anajiandaa kukanusha kuhusu kuteuliwa kwake na kwamba watu waupuuze uvumi huo
 
Pamoja na yote, bado nawaheshimu hawa waarabu, wakisaidiwa na Iran mwenye vikwazo kibao. Lakini wanapigana kufa na kupona kuwasaidia Gaza.
Huyo Israel mnayemshabikia, anawezeshwa na mataifa makubwa, kwa vitu vingi sana.
Mkimsifia Israel sifia na mabwana zake wanaomtunza.
Wote wangekuwa sawa, Israel angeshikwa adabu, hiki kiburi ni cha mabwana zake.
 
Neta anakwambia hadi mwakani anataka pasiwe na kundi lingine lolote hizo bunker buster hadi Sasa Wana order kutoka Kila pande ya dunia
Saudia anazitaka nyingi
Saudia anazitaka za nini na yeye ndo mwenye dini ya haki. Kila mwaka anaokota pesa za mahujaji?
 
Pamoja na yote, bado nawaheshimu hawa waarabu, wakisaidiwa na Iran mwenye vikwazo kibao. Lakini wanapigana kufa na kupona kuwasaidia Gaza.
Huyo Israel mnayemshabikia, anawezeshwa na mataifa makubwa, kwa vitu vingi sana.
Mkimsifia Israel sifia na mabwana zake wanaomtunza.
Wote wangekuwa sawa, Israel angeshikwa adabu, hiki kiburi ni cha mabwana zake.
tulia dawa ipenye wewe
 
Hakuna mahala ambapo mkono wa Israel hautafika kwa Jina la YEHOVA, Mungu wa Majeshi.
 
Back
Top Bottom