Konseli Mkuu Andrew
JF-Expert Member
- May 10, 2013
- 749
- 875
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana Huyu huwa anasikika hata kipindi ambacho siyo cha uchaguzi.
Huwa anaitishaga mikutano na waandishi wa Habari na huwa anazungumza hoja zenye nguvu sana!
Mara kadhaa amekuwa akifanya hivyo.
Ningekuwa na clips zake ningekurushia uone akishusha Nondo na madini mazito!
Jamaa yuko vizuri sana !
Kwani hizo za SGR na Bombierdia hazitekelezeki mkuu?Sera za Spunda zinaonekana kutekelezeka,ukiangalia mpunga tunalima na kufuga wenyewe,sio hizo za bombierdia na stigler george
Huyu ndo nampa kura yanguHashim Rungwe Spunda ametia nia kugombea Urais wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba kwa tiketi ya CHAUMA
Amesema, "Sera yangu ya kuimarisha lishe kwa watanzania bado iko palepale. Nitahakikisha Mtanzania anakuwa na uwezo wa kula kuku mzima na wanafunzi wale ubwabwa mara kwa mara. Elimu bure bila lishe bora haina tija, hata viwanda bila lishe bora haviwezi kuzalisha kwa manufaa"
View attachment 1509973
Hakuna mchaga Masai nyama choma na kitimoto ndio anataka ubwabwa hauna nafasiUbwabwa ni chakula Cha taifa chief
Masai Hali kuku Wala mchaga na jaluo Hali ubwabwa Ni ugali Dona la nguvu na wahehe hawali wali wanaita chenga za mahindi ukitwanga kwenye kinu ukipata unga chenga zinazobaki wanapewa watoto wapikie kwenye vikopo wakicheza .Mchele kule Huwezi mwekea mtu mzima kwenye sherehe muwekee nyama choma na ugali wa nguvu Ndio anajua umemheshimu wali anachukulia kuwa umemdharau umempa chenga nilishafanya kazi hotelini nawajuaSpundanomics = Ubwabwa na Kuku Mzima kwa Kila Mtanzania
Haya wabongo ahadi ya ubwabwa kwa watoto wenu na nyie wenyewe muwe mnabugia kuku mzima. Kazi kwenu. Kura kwa Mh. Rungwe ni muhimu
Wala ubwabwa wengi Wana IQ Ndogo akiwemo huyo mgombea Uraisi Rungwe Wala ubwabwa mfululizo wachache Sana wenye akiliHuyu ndo nampa kura yangu
Wala ubwabwa wengi Wana IQ Ndogo akiwemo huyo mgombea Uraisi Rungwe Wala ubwabwa mfululizo wachache Sana wenye akili
Ahahahah Spunda mnogesha mchakato. Unajua uchaguzi bila Spunda haunogi mkuuSpunda bana. Yaani hapo yupo serious kabisa anaona ana chance nzuri tu ya kuukwaa urais
Hayo makabila yote uliyotaja kwao ubwabwa ni chakula cha siku ya Kipaimara na Christimass au Eid. Wote wanapenda ubwabwa sema ndiyo hivyo tena....
DuuuAnajua kabisa shida ya wabongo inaanzia tumboni na kusambaa hadi kichwani [emoji23][emoji23][emoji23]
DuhChagua Spunda (Hashimu Rungwe), udumavu ni tatizo kubwa sana kwa watanzania, lishe duni inazalisha vijana waliodumaa kimwili na kiakili.
Kijana wa miaka 25 ukimuangalia Afya yake utafikiri mtoto wa miaka 14 bwana, Chagua Spunda tupate lishe bora tujenge taifa la magiant na magenius..
Bado kuna zile sera la kumwagilia mashamba kqa ndege na helicopter, kupeleka bahari mpaka dodoma, tutaunganisha Ziwa victoria na bahari ya hindi ili Maersk line, Mesina nk zifike mpaka Mwanza.. Chini ya Rungwe spunda Taifa litapaa maana ni mtu mwenye IQ kubwa na exposure iliyotukuka..