Hashim Safi Al din kumrithi Hassan Nasrallah kuiongoza Hezbollah. Mapambano yanaendelea

Sir John Roberts

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Posts
12,835
Reaction score
23,584
Katika taarifa iliyotolewa hivi punde kutoka vyanzo nchini Iran Hashim anatajwa kuwa tayari jina lake limethibitishwa na shura ya maulamaa kama mrithi wa Hassan Nasrallah. Muda wowote atatangazwa. Huyu ni second in command. Hezbollah hawapoi ni bandika bandua.

NB. Hii nafasi Kila member wa Hezbollah alikuwa anaomba Mungu amsaidie aweze kuipata.
 

Safi. Israel watamsikilizia. Kisha wataamua aishi au awahi naye.
 
Naye tayari kaingia kwenye tageti za IDF🤣🤣🤣
 
Ila tulisema kuwa Hassan Nasrallah yupo salama. Naona sasa tumekubali kuwa ameuawa. Na sisi hatuna msimamo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…