Hashim Safi Al din kumrithi Hassan Nasrallah kuiongoza Hezbollah. Mapambano yanaendelea

Katika taarifa iliyotolewa hivi punde kutoka vyanzo nchini Iran Hashim anatajwa kuwa tayari jina lake limethibitishwa na shura ya maulamaa kama mrithi wa Hassan Nasrallah. Muda wowote atatangazwa. Huyu ni second in command. Hezbollah hawapoi ni bandika bandua.
View attachment 3109630
Haina shida! Akiitakia amani Israel atapewa amani. Lau, akitaka vita mayahudi wanapenda vita haoo! Wanaijua vita waleee! Achague mwenyewe.
 
Katika taarifa iliyotolewa hivi punde kutoka vyanzo nchini Iran Hashim anatajwa kuwa tayari jina lake limethibitishwa na shura ya maulamaa kama mrithi wa Hassan Nasrallah. Muda wowote atatangazwa. Huyu ni second in command. Hezbollah hawapoi ni bandika bandua.
View attachment 3109630
Huyu hana hata miezi 2 atamfuata kiongozi wao!
 
Ningekua mm nakataa kwakua nauliwa na mtoa roho!! Israel peleka moto kweli kweli mpk wakubali.sema raha kuwahi bikra 70.
All the best
 
Katika taarifa iliyotolewa hivi punde kutoka vyanzo nchini Iran Hashim anatajwa kuwa tayari jina lake limethibitishwa na shura ya maulamaa kama mrithi wa Hassan Nasrallah. Muda wowote atatangazwa. Huyu ni second in command. Hezbollah hawapoi ni bandika bandua.
View attachment 3109630
Mimi nawasapoti hawa jamaa ila kwasasa watulie tu waache kwanza haya mapambano.
Myahudi inaonesha amewaweza sehemu kubwa ya intelijensia.
Na kila watachofanya yaonekana kinafikika.
Watulie kwanza uwanja ushainama huu ndiki halitembei.
 
Watu dhalimu wote LAZIMA waiondoke dunia hii. Next Putin! Ahahahahaha!!
 
Katika taarifa iliyotolewa hivi punde kutoka vyanzo nchini Iran Hashim anatajwa kuwa tayari jina lake limethibitishwa na shura ya maulamaa kama mrithi wa Hassan Nasrallah. Muda wowote atatangazwa. Huyu ni second in command. Hezbollah hawapoi ni bandika bandua.
View attachment 3109630
Uzur Allah yeye ni kuandaa bikira. Muda sio mrefu nae wanae
 
Mimi nawasapoti hawa jamaa ila kwasasa watulie tu waache kwanza haya mapambano.
Myahudi inaonesha amewaweza sehemu kubwa ya intelijensia.
Na kila watachofanya yaonekana kinafikika.
Watulie kwanza uwanja ushainama huu ndiki halitembei.
Vitani unabadilisha strategy unaendelea mbele madhaifu Yao siyo wao tu wanayajua hata sisi tunayajua. Kwani wewe hujui kwanini Israel anatamba uwanja wa vita? Hautakiwi kurudi nyuma ukirudi unampa adui ushindi. Hezbollah wapo vizuri sana ila wamezungukwa na ma spy wa Israel ambao ni wenzao lakini pia Israel anasapoti kubwa ya fedha na silaha za teknolojia ya juu kutoka marekani. Hapa juzi wameongezeka Dola Bilioni 8 kwahiyo ni kwamba jamaa wanapambana na jabali tuwape hongera wanajitahidi sana hawapaswi kukatishwa tamaa.
 
Hezbollah Huwa hawafichi taarifa .hii wametangaza wenyewe official tofauti na Israel Leo asubuhi kapigwa ballistic missiles Tel Aviv kazuia media zisitowe taarifa.
Al Jazeera nmeangalia sijaona. Israel washenzi wale wanakupiga wananyamaza wanakuacha mwenyewe ulie... Ila safari hii wameamua hasa. Irani anasemaje mpaka sasa?au bado ana unya unya tu? Maana Netanyau kasema hakuna sehemu wao hawawezi fika ndani ya Irani
 
Back
Top Bottom