Hashim Safi Al din kumrithi Hassan Nasrallah kuiongoza Hezbollah. Mapambano yanaendelea

Hashim Safi Al din kumrithi Hassan Nasrallah kuiongoza Hezbollah. Mapambano yanaendelea

Al Jazeera nmeangalia sijaona. Israel washenzi wale wanakupiga wananyamaza wanakuacha mwenyewe ulie... Ila safari hii wameamua hasa. Irani anasemaje mpaka sasa?au bado ana unya unya tu? Maana Netanyau kasema hakuna sehemu wao hawawezi fika ndani ya Irani
Subiri tangazo rasmi linakuja.
 
Katika taarifa iliyotolewa hivi punde kutoka vyanzo nchini Iran Hashim anatajwa kuwa tayari jina lake limethibitishwa na shura ya maulamaa kama mrithi wa Hassan Nasrallah. Muda wowote atatangazwa. Huyu ni second in command. Hezbollah hawapoi ni bandika bandua.
View attachment 3109630
Za chinichini ni kwamba jamaa amegomea uteuzi
 
Katika taarifa iliyotolewa hivi punde kutoka vyanzo nchini Iran Hashim anatajwa kuwa tayari jina lake limethibitishwa na shura ya maulamaa kama mrithi wa Hassan Nasrallah. Muda wowote atatangazwa. Huyu ni second in command. Hezbollah hawapoi ni bandika bandua.
View attachment 3109630
Israel huyu huku MWINGINE wamemteua fanyeni yenu KABLA hajaapishwa
 
Muyahudi hataishi kwa amani mpaka Palestina ipate Uhuru wake , watakufa na kulala kwenye mahandaki mpaka kieleweke
Wanaolala na kuishi kwenye Mahandaki ndo hao wamezikwa humo humo. Au umejichanganya sheikh? Na wanaokufa kwa idadi kubwa si tunawaona? Takwimu za Aljazeera unazo za Vifo na Majeruhi?
 
Back
Top Bottom