Sifurahii kifo cha mtu, isipokuwa nafurahia teknolojia waliyoitumia kumchinjia.
Bomu la kufukua handaki mita 20 kwenda chini, hata Mmarekani kaapa kwamba hajawahi kuitumia wala hajawahi kuwa nayo.
Baada ya maangamizi hayo, Israel wamemueleza Iran kuwa wasimchukulie poa kwa kumletea ngebe zao, watamuondoa kiongozi yeyote yule anayeonesha chuki za dhahiri dhidi ya Taifa la Israel.
Na kweli Irani wameona kwamba Israel hajawahi kutoa vitisho, yeye hutenda.
Kwa sasa Mheshimiwa Ayatolah Khameni kafichwa kusikojulikana.