Hashim Safi Al din kumrithi Hassan Nasrallah kuiongoza Hezbollah. Mapambano yanaendelea

Bosi vita siyo hasira ni mbinu. Israel amejipanga muda mrefu kwa haya anayoyafanya. Huwezi kuua top decision makers yote kwa muda mfupi bila kuwa na Intel ya maana ya hao watu.
Mpka Sasa middle East yote ipo mikononi mwa Israel. Unatoa mawazo kama huoni kinachoendelea.
 
Mkuu mzozo wa palestina na Gaza naona unauelezea kwa juu juu ni Aidha haujui au hautaki kujuwa chanzo cha huu mgogoro. Na huu mzozo haujaanza Oktober 7 kama unavodhani.
 
ni historia iliyopo kwenye Biblia iliyoandikwa hata kabla mood hajazaliwa, hata mood aliikuta. ile ardhi Mungu aliyeiumba aliwapa waisrael, sio waarabu.

aisee kwahiyo Dunia inatumia historia ya kwenye bible.

unafahamu Kila mtu duniani hapa ana imani yake na tukianza kutumia maandiko ya kila kitabu basi hapa duniani patakuwa hapakaliki maana wahindu watakwambia kwenye kitabu chao Pakistani ni kwao nao nk.

Wewe unaaminu bible mwingine anaamini Koran nk, Palestina nao wakikwambia kwenye Koran pale ni kwao itakuaje?.

Aisee.
 
Biblia ndio kila kitu
 
Nenda ukawasaidie kama imekuuma sanaa
Kwanini unachukia Mimi ikiniuma kuhusu palestina mbona wewe unaumia wayahudi wakishambuliwa tatizo liko wapi mkuu? Kila mtu yupo huru kusapoti anachoona ni sahihi kwake tujadiliane kwa hoja .
 
Hakuna ambaye hajajipanga kwenye vita yeyote ile. Hata kama unaepigana nae ana nguvu kukuzidi yeye ana bunduki wewe utabeba panga .
 
Jihadi Huwa inaendelezwa mpaka mwisho wa vita Aidha ushinde au ushindwe labda wauee waislamu wote huku duniani . Kazi Bado ipo sana tuu msijipe moyo vibaraka wa wayahudi .
Na mabomu ya kuwaua wote hadi Lebanon ibaki kua nchi ya kikristo yapo tu mje.......dadek na Yemen mshafungiwa starlink patamu hapo
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mwarabu bora hata kidogo muafrika ,,,ila mwarabu kaingia kwenye 18 za wazungu vizuri hata kuchomoka hawezi akikaa nchale akisimama nchale,,,,,kikubwa kilichobaki wamsujudie Israel tu ndo pona yao,,,wenzao wa UAE ,Saudia na huko Jordan wanajua hilo
 
Ground op ya Israel inaenda kusafisha kila kitu baada ya Pagers disaster na kuua makamanda wa op mbali mbali za Hezibollar.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…