Hashim Safi Al din kumrithi Hassan Nasrallah kuiongoza Hezbollah. Mapambano yanaendelea

Kufa kupo ila mavilemba yanakufa kilofa sana. Ukisiki!iza hotuba zao utadhani wana uwezo wa kujilinda kumbe hovyo.

Kama taasisi haiwezi kumlinda kiongozi wake wa juu dhidi ya adui, itakiwaje Kwa raia?
Uwezo wa marekani na Hezbollah ni sawa? Nilidhani ungewapongeza sana kuonesha ujasiri mkubwa wa kupambana na Israeli.
 
Mwarabu bora hata kidogo muafrika ,,,ila mwarabu kaingia kwenye 18 za wazungu vizuri hata kuchomoka hawezi akikaa nchale akisimama nchale,,,,,kikubwa kilichobaki wamsujudie Israel tu ndo pona yao,,,wenzao wa UAE ,Saudia na huko Jordan wanajua hilo
UAE, Saudia na Jordan wao siyo waarabu?
 
Naunga mkono hoja
 
Zile pagers ziliwashtua Sana Hizbollah wakawa hawana option zaidi ya kukubali matokeo.
 
Kuna tetesi kuwa naye huyu wameshamuondoa baada tu ya kupewa hiyo nafasi
 
hata mm niliitamani sana hii position...ushoga lazma umalizwe
 
Hezbollah Huwa hawafichi taarifa .hii wametangaza wenyewe official tofauti na Israel Leo asubuhi kapigwa ballistic missiles Tel Aviv kazuia media zisitowe taarifa.
Ha ha ha ha ballistic missile ubaijua wewe? Ushushiwe hio utaficha nini? Kishindo na vumbi lake hadi Beirut lingeonekana.
 
Israeli wanaweza kumpiga kitu hata kabla ya kuapishwa
 
Mkishazidiwa ndio huwa mnaleta maneno ya kujifariji kama haya solution ni Acheni Ugaidi.

Kuzidiwa na nini kwani hujui kifo ni haki ya kila mtu hata wewe na mimi ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…