antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Aisee,Katika taarifa iliyotolewa hivi punde kutoka vyanzo nchini Iran Hashim anatajwa kuwa tayari jina lake limethibitishwa na shura ya maulamaa kama mrithi wa Hassan Nasrallah. Muda wowote atatangazwa. Huyu ni second in command. Hezbollah hawapoi ni bandika bandua.
View attachment 3109630
NB. Hii nafasi Kila member wa Hezbollah alikuwa anaomba Mungu amsaidie aweze kuipata.
Ana uzoefu wowote wa kuishi kama nungunungu mapangoni na kwenye mashimo daily, maana hapo tayari yupo kwenye kilengeo?
Pona yake ni kama atabadili msimamo. Aachane na mihemko ya akina Ayatollah, Nasrallah, ISiS, Houthi, Hamas, nk