Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,133
- 12,361
Sasa kwa nini anatajwa mrithi?Hapana, kama ameuliwa watuonyeshe maiti na mazishi yake !
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kwa nini anatajwa mrithi?Hapana, kama ameuliwa watuonyeshe maiti na mazishi yake !
Amaa kweeli! Akipenda chongo huita Kengeza.Hapana, kama ameuliwa watuonyeshe maiti na mazishi yake !
Duh! Sasa itakuwaje?? Kipofu kuongoza vipofu kwani Wabobezi wote kwishney.hiyo ni vita, kuna kupiga na kupigwa, ndio maana inaitwa vita. ila cha kuelewa ni kwamba, the entire hezbollah leadership command. kafuta wote kabisa, na hao waliobaki ni panya tu.
View attachment 3109978
Umeongea kwa tafakuri ya kusikitisha sana.
Unachomaanisha ni kwamba Hamas, Hezbola na Iran wapo kuwasaidia Palestina wanaonyanyaswa.
Swali la kujiuliza,
Ni kweli Palestina wananyanyaswa?
Ni nani alieanza kumchokoza mwenzie kwny vita vya gaza?
Nani alikuwa mchokozi dhidi ya hamas na sasa dhidi ya hezbolaa?
Mtu unaweza kusema unachagua kufa kuliko kunyanyaswa kumbe ni wewe mwenyewe unatafuta sababu maksudi, ili yapatikane mapigano ufe, kwa kuwa unaamini kufa ni thawabu.
Sasa kama mnakikimbilia hizi kelele ni za Nini?acha Israel mtoa roho aendee kuwapunguza tuUnajua kifo ni tafsiri Yako tu. Wenzio wanakikimbilia na kufurahia kufa katika vita vitakatifu hii ndio tofauti kubwa kati ya Islamic resistance na wayahudi. Wayahudi wanaogopa sana kufa wakati wenzao wanafurahi sana kufa katika vita hii. Jibu unalo
ndugu yangu, israel hakalii eneo hata moja la wapalestina, lile ni eneo lao. wapalestina ni wahamiaji wa kiarabu na kimisri wao wenyewe wameongea hilo na wanajijua. hapajawahi kuwepo nchi inaitwa palestina, hapajawahi kuwepo rais au mfalme wa kitu kinachoitwa palestina. ni jina tu la wahamiaji waliovamia nchi ya kiyahudi baada ya wayahudi kukimbia nchi tangu kipindi cha mfalme Nebukadreza na hawakuondoka wote, wapo wayahudi vizazi vilibaki pale hadi leo.Tunaposema Hamas aaliishambulia Israeli halafu tukasahau kwamba kabla ya hayo mashambulizi kila siku Israeli anafanya pocket attacks na kuua mamia ya wapalestina na hilo shambulia la Wapalestina ilikuwa kama kisasi tu na katika harakati zake za kudai ardhi yake iliyotwaliwa.
Lakini tunasahau kama Israeli anayakalia maeneo ya wapalestina na bado anaendelea kuyamega na Palestina anapojaribu kuresist watu wake wanauwawa.
Inamaana tukubaliane kwamba Palestina hawana haki na wapaswa kufa, wakiuwawa basi hawana haki ya kulipa kisasi au kujipigania? Ni haki kwa Israeli kutwaa maeneo ya Palestina lakini sio haki kwa Palestina kudai maeneo yake.
Palestina sio Taifa, ni mamlaka ya ndani, hawana jeshi na wanaishi kwa matakwa ya Israeli, kifupi Palestina ni Colony la Israeli maana hawana mamlaka yeyote na hawaruhusiwa kuwa na jeshi wala kuwa na silaha, JE KWANINI SASA PALESTINA WASIPEWE TAIFA LAO NA MIPAKA YAO WAKAISHI WATAKAVYO KAMA WENGINE DUNIANI?
Tunahubiri haki, haki ya wapalestina ipo wapi? Dunia mbona inatetea haki ya waukraine na kumuita mrusi mvamizi mbona Israeli haitwi mvamizi na Wapalestina wakapewa haki yao.
Unayaongea haya ukiwa matombo ndani ndani huko...Palestine wenyew wanajua fika washapoteza....ndo maana Hamas wanajikakamua ila wanacheza kipigo Cha mbwa Koko....we tulia hapo kwenu ile chakula ulicholetewa na mmeo wa dada yako....kweny vita hujui chochoteWewe watu wakija kwenye nchi Yako wakakutawala utakubali? Palestina itapata Uhuru wake iwe jua iwe mvua.
Kwny huu mzozo inawezekana kuna kitu sikielewi vizuri na inawezekana ukawa sahihi.Tunaposema Hamas aaliishambulia Israeli halafu tukasahau kwamba kabla ya hayo mashambulizi kila siku Israeli anafanya pocket attacks na kuua mamia ya wapalestina na hilo shambulia la Wapalestina ilikuwa kama kisasi tu na katika harakati zake za kudai ardhi yake iliyotwaliwa.
Lakini tunasahau kama Israeli anayakalia maeneo ya wapalestina na bado anaendelea kuyamega na Palestina anapojaribu kuresist watu wake wanauwawa.
Inamaana tukubaliane kwamba Palestina hawana haki na wapaswa kufa, wakiuwawa basi hawana haki ya kulipa kisasi au kujipigania? Ni haki kwa Israeli kutwaa maeneo ya Palestina lakini sio haki kwa Palestina kudai maeneo yake.
Palestina sio Taifa, ni mamlaka ya ndani, hawana jeshi na wanaishi kwa matakwa ya Israeli, kifupi Palestina ni Colony la Israeli maana hawana mamlaka yeyote na hawaruhusiwa kuwa na jeshi wala kuwa na silaha, JE KWANINI SASA PALESTINA WASIPEWE TAIFA LAO NA MIPAKA YAO WAKAISHI WATAKAVYO KAMA WENGINE DUNIANI?
Tunahubiri haki, haki ya wapalestina ipo wapi? Dunia mbona inatetea haki ya waukraine na kumuita mrusi mvamizi mbona Israeli haitwi mvamizi na Wapalestina wakapewa haki yao.
Huyu nae ajiandae Kwa safari ya kuwafuata wenzie kina Nasrala na Haniyeh kule walipoKatika taarifa iliyotolewa hivi punde kutoka vyanzo nchini Iran Hashim anatajwa kuwa tayari jina lake limethibitishwa na shura ya maulamaa kama mrithi wa Hassan Nasrallah. Muda wowote atatangazwa. Huyu ni second in command. Hezbollah hawapoi ni bandika bandua.
View attachment 3109630
NB. Hii nafasi Kila member wa Hezbollah alikuwa anaomba Mungu amsaidie aweze kuipata.
ndugu yangu, israel hakalii eneo hata moja la wapalestina, lile ni eneo lao. wapalestina ni wahamiaji wa kiarabu na kimisri wao wenyewe wameongea hilo na wanajijua. hapajawahi kuwepo nchi inaitwa palestina, hapajawahi kuwepo rais au mfalme wa kitu kinachoitwa palestina. ni jina tu la wahamiaji waliovamia nchi ya kiyahudi baada ya wayahudi kukimbia nchi tangu kipindi cha mfalme Nebukadreza na hawakuondoka wote, wapo wayahudi vizazi vilibaki pale hadi leo.
Hayo mashimo labda wayadizaini kama yale ya vita vya Vietnam na USA: kona, kona, kona nyingine, kona tena ndiyo unamfikia 'kingunge'!Ayyatollah alipanga kuwa watapigana pamoja ila mwishowe kakimbilia kwenye mashimo.
Hao washajiandaa kufa kwaajili ya palestina hakuna jipya hapo.Huyu nae ajiandae Kwa safari ya kuwafuata wenzie kina Nasrala na Haniyeh kule walipo
Nasikitika level yako ya kujadili haya mambo ni ndogo sana. Nenda kwenye majukwaa ya size Yako. Uhuru wa palestina unapiganiwa na wapenda Haki wote duniani.. umebaki wewe tu.Unayaongea haya ukiwa matombo ndani ndani huko...Palestine wenyew wanajua fika washapoteza....ndo maana Hamas wanajikakamua ila wanacheza kipigo Cha mbwa Koko....we tulia hapo kwenu ile chakula ulicholetewa na mmeo wa dada yako....kweny vita hujui chochote
Nasikia nayeye yupo kwenye list of assasinetion kwahiyo nayeye any time wanamla kichwa...Hezbollah Huwa hawafichi taarifa .hii wametangaza wenyewe official tofauti na Israel Leo asubuhi kapigwa ballistic missiles Tel Aviv kazuia media zisitowe taarifa.
Hezbollah wapo tayari kufa kwajili ya palestina. Wakimuua atakuja mwingine Tena hiyo nafasi Kila mmoja anaitamani.Nasikia nayeye yupo kwenye list of assasinetion kwahiyo nayeye any time wanamla kichwa...
Nenda ukawasaidie kama imekuuma sanaaNasikitika level yako ya kujadili haya mambo ni ndogo sana. Nenda kwenye majukwaa ya size Yako. Uhuru wa palestina unapiganiwa na wapenda Haki wote duniani.. umebaki wewe tu.
Sasa unanichukia nini mbona wewe unawasapoti wayahudi Mimi sikuchukii?Nenda ukawasaidie kama imekuuma sanaa
Maisha ni zawadi tumepewa mara moja tu haijirudii, kujitolea kufa Kwa ajili ya wengine kwangu naona ni mapungufuHao washajiandaa kufa kwaajili ya palestina hakuna jipya hapo.
Kwa uwezo wako ni sawa kabisa kuwaza hivyo upo sahihi.Maisha ni zawadi tumepewa mara moja tu haijirudii, kujitolea kufa Kwa ajili ya wengine kwangu naona ni mapungufu
ni historia iliyopo kwenye Biblia iliyoandikwa hata kabla mood hajazaliwa, hata mood aliikuta. ile ardhi Mungu aliyeiumba aliwapa waisrael, sio waarabu.Tunaongelea historia hizo mkuu, hiyo historia imeandikwa wapi na nani?.
Kama ni historia mbona hata Waisraeli pale nao ni wahamiaji wakitokea Iraq kama sikosei? Kwani Abraham alitokea wapi kufika pale na alipofika aliwakuta akina nani pale?
Basi tumrudishie Russia maeneo yake arudi kuwa Urusi na Yugoslavia pia kama ni suala la historia, kihistoria pale Moshi tunaambiwa wachaga walivamia tu pale na Wangoni kwao ni SA. Hata USA wenyeji ni Wahindi wekundu na wengine wote ni wahamiaji warudi kwao.
Historia ipi inayosema Israeli pale ni kwao? na Babu yao Israeli alitokea wapi kufika pale na alipofika alipakuta tupu?