Kweli kabisa, alisimamisha ajira kwa miaka sita, lakini rekodi zinaonyesha alikuwa anajaza watu wa Chato katika usalama(bila shaka mama atawaondoa) na nafasi nyeti serikali.Amesema anaomba aoneshwe hata kiwanda kimoja kilichojengwa na serikali ya Magufuli.
Amesema utawala wake ndiyo umesababisha ukame wa ajira kwa vijana mpk kuibuka kwa panyaroad.
Legacy kwisha! Kwisha kabisaaaa!
Chanzo: Hashimu Rungwe anahojiwa startv muda huu.
Ajira Bila Viwanda.. Wala Vyanzo vya Mapato kazi kununua Vitu Nje ndio itakuwa AjiraSawa serikali ya samia itajenga na kuzalisha ajira mamilioni
Wewe uliyefaulu umejenga viwanda vingapi?kiufupi ni kwamba magufulu aliwatengenezea umasikini mkubwa wananchi,
alichofanikisha kwa 100% ni kuwaruhusu machinga wapange bidhaa barabarani na kwenye round about za miji
alifeli sana
kwani mimi ni Rais wako?Wewe uliyefaulu umejenga viwanda vingapi?
Nawasikitikia Sana wajukuu zake maana kumuita Babu mtu kama huyu ni aibu, ninachojua mpaka mtu astahili kuitwa Babu anatakiwa kuonesha kiwango cha hekima na busara kisichotiliwa shaka.
Mzee Rungwe leo kadhalilisha wazee wenye rika Kama lake bora angekaa kimya tusingejua uzee wake
Awaondoe afu naye awaweke wazenji si ndoKweli kabisa, alisimamisha ajira kwa miaka sita, lakini rekodi zinaonyesha alikuwa anajaza watu wa Chato katika usalama(bila shaka mama atawaondoa) na nafasi nyeti serikali.
Tulikuwa na mtu wa hovyo sana
Kwenye hii comment sijaona mahali umeonesha kiwanda alichojenga Magufuli. Wakati ule tuliambiwa vimejengwa viwanda 3000, viko wapi?Nawasikitikia Sana wajukuu zake maana kumuita Babu mtu kama huyu ni aibu, ninachojua mpaka mtu astahili kuitwa Babu anatakiwa kuonesha kiwango cha hekima na busara kisichotiliwa shaka.
Mzee Rungwe leo kadhalilisha wazee wenye rika Kama lake bora angekaa kimya tusingejua uzee wake
Mtu anaomba kura kupitia ubwabwa uadhani anayo akili huyo.Nawasikitikia Sana wajukuu zake maana kumuita Babu mtu kama huyu ni aibu, ninachojua mpaka mtu astahili kuitwa Babu anatakiwa kuonesha kiwango cha hekima na busara kisichotiliwa shaka.
Mzee Rungwe leo kadhalilisha wazee wenye rika Kama lake bora angekaa kimya tusingejua uzee wake
Ajira Bila Viwanda.. Wala Vyanzo vya Mapato kazi kununua Vitu Nje ndio itakuwa Ajira