Tafakari yetu
JF-Expert Member
- Apr 19, 2021
- 1,505
- 4,427
Akili timamu ni za Rungwe kweli? Tusiabishe watu wenye akili timamuYule jamaa yenu hakuna mtu mwenye akili timamu hata mmja anamsemea vizuri 😆😆😆😆
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akili timamu ni za Rungwe kweli? Tusiabishe watu wenye akili timamuYule jamaa yenu hakuna mtu mwenye akili timamu hata mmja anamsemea vizuri 😆😆😆😆
Aliyemuelewa huyu atusaidieAjira Bila Viwanda.. Wala Vyanzo vya Mapato kazi kununua Vitu Nje ndio itakuwa Ajira
Hakuna mtu hata mmja mwenye akili timamu alimuelewa yule mtu wenu ,alikuwa kitukoAkili timamu ni za Rungwe kweli? Tusiabishe watu wenye akili timamu
Hakuna. Mpk ccm wenzake walichanganyikiwa kabisaAliyemuelewa huyu atusaidie
Rungwe ni Mfanyabiashara na wakili wa mahakama kuu juu ya kuwa mwanasiasa ..Rungwe ni sehemu tu ya wazee wengi wapumbavu ktk nchi yetu. Apuuuzwe.
Kwa hiyo ule wimbo wake wa Tanzania ya viwanda ukaishia kufungua kiwanda cha asas,Asas ana miaka mingapi hapa Tanzania?Mwaka 2018 tarehe 02 mei Hayati Magufuli alifungua kiwanda kikubwa Sana kule Iringa na siku hiyo nilikuwepo ,nimekupa mfano hai kabisa. Haya huyo Babu anaposema uongo anamaanisha nini?
Weka data,jiwe alijenga kiwanda gani? au ni hivi vya kuchomelea magetiNawasikitikia Sana wajukuu zake maana kumuita Babu mtu kama huyu ni aibu, ninachojua mpaka mtu astahili kuitwa Babu anatakiwa kuonesha kiwango cha hekima na busara kisichotiliwa shaka.
Mzee Rungwe leo kadhalilisha wazee wenye rika Kama lake bora angekaa kimya tusingejua uzee wake
Rungwe ni sehemu tu ya wazee wengi wapumbavu ktk nchi yetu. Apuuuzwe.
Nionesheni kiwanda ili nijue nani mkweli?Dah...Kwa Umri Wake Yule Mzee hakika ilikuwa ndo awe Mfano wa Wapinzani Makini, Lkn Kila nikimwangalia Sioni Uwakilishi Wa Upinzani makini...!
Nadhani hata Yeye Mwenyewe Kajiweka Kundi La Upinzani Wa jokes ndo Mana Kwenye Kampeni zake Alikuwa anatembea na MAHOTIPOTI Ya Ubwabwa.
Yawezekana Hakuna Kiwanda Kilichokamilika...Lkn ni Kweli Vyote vilivyokuwepo kwenye Ilani ya chama Hakuna kilichokamilika...!
Ipo haja Kuomba Mungu wakati Unazeeka Uzeeke Vizuri.
Acha Kuvitetea hivi 'Vibabu' Mbowe na Rungwe..... yaani Watu tupo shule za Sekondari vyenyewe vipo kwenye nafasi Ya Mwenyekiti..! Tukapiga hatua Vyuo bado vipo Palepale...!Hapo ndo umejibu hoja ya mzee? Onyesha kiwanda alichojenga Magufuli.
Hashim Rungwe ni sehemu ya vyeti feki [emoji1241]. Mpuuzeni.
Viko wapi ?Kiwanda cha serikali au nini? maana viwanda vilivyojengwa ni vingi na vimefunguliwa
Wewe mtu na akili zake aligombea urais anasema sera yake ni kugawa ubwabwa bado mna argue nae?Acha Kuvitetea hivi 'Vibabu' Mbowe na Rungwe..... yaani Watu tupo shule za Sekondari vyenyewe vipo kwenye nafasi Ya Mwenyekiti..! Tukapiga hatua Vyuo bado vipo Palepale...!
Tumebangaliza Wee mtaani na bahasha Za Vyeti kutafuta kazi hapa na pale na Sasa Tupo sehemu tunapiga Mzigo..!
Kutahamaki Bado hivi Vizee Vipo pale pale..! Hivi Katiba Zao huko Zinasemaje jama.?
Madai ya Katiba mpya ni Bora Yangeanzia ndani Ya Vyama..!
Haiwezekani Wewe uwe na Kiongozi tena nafasi M/kiti hujui Ukomo wa Nafasi Hiyo ni lini...? Watu wanapokezana vijiti Yeye Kavimba tu...!
Uliza nini Kimefanyika nitiririke kile ambacho tangu Uhuru watangulizi Walijitahidi kufanya wakapata changamoto ya Panya buku.....
Iringa sehemu gani ..?kwa Msigwa au Jah people? Kinaitwaje hiko kiwanda? Kinaproduce nini?Mwaka 2018 tarehe 02 mei Hayati Magufuli alifungua kiwanda kikubwa Sana kule Iringa na siku hiyo nilikuwepo ,nimekupa mfano hai kabisa. Haya huyo Babu anaposema uongo anamaanisha nini?
Amekuwa mkweli, kwani ni uongo. Onesha kiwanda kimoja tu labda vyerehaniNawasikitikia Sana wajukuu zake maana kumuita Babu mtu kama huyu ni aibu, ninachojua mpaka mtu astahili kuitwa Babu anatakiwa kuonesha kiwango cha hekima na busara kisichotiliwa shaka.
Mzee Rungwe leo kadhalilisha wazee wenye rika Kama lake bora angekaa kimya tusingejua uzee wake
Hashim Rungwe ni sehemu ya vyeti feki [emoji1241]. Mpuuzeni.
Mwaka 2018 tarehe 02 mei Hayati Magufuli alifungua kiwanda kikubwa Sana kule Iringa na siku hiyo nilikuwepo ,nimekupa mfano hai kabisa. Haya huyo Babu anaposema uongo anamaanisha nini?