Hashimu Rungwe: Magufuli alikuwa anaimba viwanda lakini hakujenga hata kimoja

Hashimu Rungwe: Magufuli alikuwa anaimba viwanda lakini hakujenga hata kimoja

Amesema anaomba aoneshwe hata kiwanda kimoja kilichojengwa na serikali ya Magufuli.

Amesema utawala wake ndiyo umesababisha ukame wa ajira kwa vijana mpk kuibuka kwa panyaroad.

Legacy kwisha! Kwisha kabisaaaa!

Chanzo: Hashimu Rungwe anahojiwa startv muda huu.
Desparate!
 
Nawasikitikia Sana wajukuu zake maana kumuita Babu mtu kama huyu ni aibu, ninachojua mpaka mtu astahili kuitwa Babu anatakiwa kuonesha kiwango cha hekima na busara kisichotiliwa shaka.

Mzee Rungwe leo kadhalilisha wazee wenye rika Kama lake bora angekaa kimya tusingejua uzee wake
Mzee Rungwe ana IQ kubwa sana pengine kuliko hata ukoo au familia yako ..hebu jibu hoja zake achana na personal attack..!
 
Dah...Kwa Umri Wake Yule Mzee hakika ilikuwa ndo awe Mfano wa Wapinzani Makini, Lkn Kila nikimwangalia Sioni Uwakilishi Wa Upinzani makini...!
Nadhani hata Yeye Mwenyewe Kajiweka Kundi La Upinzani Wa jokes ndo Mana Kwenye Kampeni zake Alikuwa anatembea na MAHOTIPOTI Ya Ubwabwa.
Yawezekana Hakuna Kiwanda Kilichokamilika...Lkn ni Kweli Vyote vilivyokuwepo kwenye Ilani ya chama Hakuna kilichokamilika...!
Ipo haja Kuomba Mungu wakati Unazeeka Uzeeke Vizuri.
CHAUMA Hoyee!
 
Nawasikitikia Sana wajukuu zake maana kumuita Babu mtu kama huyu ni aibu, ninachojua mpaka mtu astahili kuitwa Babu anatakiwa kuonesha kiwango cha hekima na busara kisichotiliwa shaka.

Mzee Rungwe leo kadhalilisha wazee wenye rika Kama lake bora angekaa kimya tusingejua uzee wake
Sasa umechangia nini juu ya hoja ya Rungwe? Kwa uchangiaji huu, isije ikawa wewe hata wanao wataona shida kukuita Baba.

Wewe kama una ushahidi kuwa utawala wa Magufuli ulijenga japo kiwanda kimoja, kitaje, hapo utakuwa umemmaliza Rungwe. La sivyo kaa kimya, waache wenye hoja wajadili.
 
Amesema anaomba aoneshwe hata kiwanda kimoja kilichojengwa na serikali ya Magufuli.

Amesema utawala wake ndiyo umesababisha ukame wa ajira kwa vijana mpk kuibuka kwa panyaroad.

Legacy kwisha! Kwisha kabisaaaa!

Chanzo: Hashimu Rungwe anahojiwa startv muda huu.
Mzee wa Ubwabwa
 
Tuoneshe kiwanda alichojenga Magufuli. Vinginevyo huna uhalali wa kumnanga mzee Hashimu Rungwe

Huyo mzee Anazeeka,hata sisi Sote Tutazeeka isipokuwa yeye Anazeeka Vibaya..!

Anayo sifa Ya Kung'ang'ania Nafasi Kama Rafiki Yake Mbowe...... Hivi mmeshamuuliza 2025 Atagombania tena Uraisi na Zile Sera Zake Za 'Ubwabwa'..
 
Mzee Rungwe ana IQ kubwa sana pengine hata ukoo au familia yako yako..hebu jibu hoja zake achana na personal attack..!
Mwaka 2018 tarehe 02 mei Hayati Magufuli alifungua kiwanda kikubwa Sana kule Iringa na siku hiyo nilikuwepo ,nimekupa mfano hai kabisa. Haya huyo Babu anaposema uongo anamaanisha nini?
 
Huyo mzee Anazeeka,hata sisi Sote Tutazeeka isipokuwa yeye Anazeeka Vibaya..!

Anayo sifa Ya Kung'ang'ania Nafasi Kama Rafiki Yake Mbowe...... Hivi mmeshamuuliza 2025 Atagombania tena Uraisi na Zile Sera Zake Za 'Ubwabwa'..
Hapo ndo umejibu hoja ya mzee? Onyesha kiwanda alichojenga Magufuli.
 
Sawa serikali ya samia itajenga na kuzalisha ajira mamilioni
Sisi tunazungumza uongo wa magufuli aliyetawala kwa miaka mitano bila viwanda alivyokuwa akivitaja kila kukicha lakini utekelezaji zero. Mama mwaka mmoja ajira tele,mishahara juu, mikopo elimu ya juu nafuu na wanufaika wameongezeka maradufu, maelfu yä wafanyakazi wamepandishwa madaraja, mambo yä kpatana kiasi Cha kulipa ili kesi ifutwe na mkurugenzi wa mashtaka hakuna tena kitu hicho, mabenki yalikuwa taabani hayakuwa na fedha za kukopesha, basi yote hayo hamuoni kwamba nchi Sasa iko kwenye mikono salama bado tu mnamtaja Mtu ambaye alitutoa kabisa kwenye reli.
 
Mwaka 2018 tarehe 02 mei Hayati Magufuli alifungua kiwanda kikubwa Sana kule Iringa na siku hiyo nilikuwepo ,nimekupa mfano hai kabisa. Haya huyo Babu anaposema uongo anamaanisha nini?
Acha uwongo. Hicho kiwanda kilijengwa na serikali? Kinaitwaje?

Jiwe alikuwa tapeli. Legacy ziiiiiiiiiiio!!!!!!!
 
Amesema anaomba aoneshwe hata kiwanda kimoja kilichojengwa na serikali ya Magufuli.

Amesema utawala wake ndiyo umesababisha ukame wa ajira kwa vijana mpk kuibuka kwa panyaroad.

Legacy kwisha! Kwisha kabisaaaa!

Chanzo: Hashimu Rungwe anahojiwa startv muda huu.
View attachment 2224647

View attachment 2224648
Yule jamaa yenu hakuna mtu mwenye akili timamu hata mmja anamsemea vizuri 😆😆😆😆
 
Back
Top Bottom