Hashimu Rungwe: Magufuli alikuwa anaimba viwanda lakini hakujenga hata kimoja

Hashimu Rungwe: Magufuli alikuwa anaimba viwanda lakini hakujenga hata kimoja

Huku kutumia muda kupiga risasi waliokufa hakuna tija bora nguvu hizo na muda ungetumika kupigana na kuvumbua madudu kwa waliopo unless waliopo kila kitu ni Kosher....

Nasikitika kusema tumekuwa Taifa la jamii ya waoga, wazandiki na wanafiki na mwisho wetu wote kwa mwendo huu sidhani kama utakuwa ni wa kuridhisha
 
Amesema anaomba aoneshwe hata kiwanda kimoja kilichojengwa na serikali ya Magufuli.

Amesema utawala wake ndiyo umesababisha ukame wa ajira kwa vijana mpk kuibuka kwa panyaroad.

Legacy kwisha! Kwisha kabisaaaa!

Chanzo: Hashimu Rungwe anahojiwa startv muda huu.
View attachment 2224647

View attachment 2224648

Katika mfumo wa Uendeshaji uchumi wa Soko Huria dhima ya kujenga viwanda sio ya serikali, ni ya sekta binafsi. Serikali kazi yake ni kuweka institutional frameworks nzuri kuwezesha sekta binafsi kuwekeza.
 
Ulichoandika ni cha ukweli kazi ya Serikali ni kutengeneza sera na mazingira wezeshi ya uanzishwaji viwanda na kuvi regulate. Je Magufuli alfanya nini katika hili? Sanasana kupitia yule VUVUZELA wake Charles Mwijage ilikuwa ni kutamka maneno ya Tanzania ya viwanda kwa kutegemea mafundi vyerehani walioko vibarazani na vyerehani 3. Au wapika maandazi wa Ipogoro pale Iringa.
 
Back
Top Bottom