real life skills
JF-Expert Member
- Jul 16, 2021
- 233
- 238
We jamaa mweupe kabisa! Hujui lolote kwenye viwanda umekalia kuimba mapambio tu na sound za Mwendazake.Naona mmekomaa na kutaja viwanda. Viwanda na kampuni zenye ajira kubwa zilizoanza wakati wa Magufuli, kwa kutaja chache:
Gas Security Services ($221million)
Jambo Foods ($130millions)
KAMAKA Co. ($92million)
Red Earth ($52million)
ASCO Taduing ($39million)
Five Star Pinter (($11million)
Hivi ni wanda vichache kati vingi vilivyoanzishwa wakati wa Magufuli. Ukitaka list jaribu kuingia katika tovuti za serkali mwenyewe. Kwa msaada fuata hii tovuti ifuatayo: https://www.dnb.com/business-directory/company-information.manufacturing.tz.html
Five star printers ya Masumini ipo kitambo kabla ya Magu. Jambo Food ya Salim Mbuzi wa Shinyanga ipo tangu wakati wa Kikwete. Huyo gas security service ndio nini sasa? Hakuna kiwanda kinaenda kwa jina hilo!