Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 13,417
- 23,310
Kweli Mkuu ila tatizo la watanzania ni wajinga sana na Magufuli akawa brainwash vibaya. Wanamuabudu mpaka leoKile kiwanda kilikuwepo kabla ya Magufuli na pia ni kitengo cha ushonaji wa wafungwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli Mkuu ila tatizo la watanzania ni wajinga sana na Magufuli akawa brainwash vibaya. Wanamuabudu mpaka leoKile kiwanda kilikuwepo kabla ya Magufuli na pia ni kitengo cha ushonaji wa wafungwa
Hicho ni Kizaramo au Kingereza?To be honest Hashim rungwe you deserve s you deserve the awardee over
Ni viwanda kwa akili za kipumbavu kama zako. Kuna watu unashangaaa kama kweli wana vichwa au wana kabeji juu ya mabegaWewe ulitaka utajiwe viwanda, unatajiwa unahamisha goli. Hivyo vilivyotajwa ni viwanda au siyo viwanda.
Kuna kiwanda shinyanga kinaitwa jambo kinatengezena maji.Ila kweli. Tionesheni viwanda hata kilichofufuliwa tu
Hakuna mtu hata mmja mwenye akili timamu alimuelewa yule mtu wenu ,alikuwa kituko
Hashimu Rungwe kaomba kama kuna mtu anayejua kiwanda hata kimoja kilichojengwa na Magufuli kilipo amuoneshe...Nawasikitikia Sana wajukuu zake maana kumuita Babu mtu kama huyu ni aibu, ninachojua mpaka mtu astahili kuitwa Babu anatakiwa kuonesha kiwango cha hekima na busara kisichotiliwa shaka.
Mzee Rungwe leo kadhalilisha wazee wenye rika Kama lake bora angekaa kimya tusingejua uzee wake
Haipo kaenda nayoKiukweli waumini wa legacy wanapata taabu sana kumtetea yule msanii
Umeingiza JAMBO FOOD nikajua moja kwa moja huu ni uongo...Naona mmekomaa na kutaja viwanda. Viwanda na kampuni zenye ajira kubwa zilizoanza wakati wa Magufuli, kwa kutaja chache:
Gas Security Services ($221million)
Jambo Foods ($130millions)
KAMAKA Co. ($92million)
Red Earth ($52million)
ASCO Taduing ($39million)
Five Star Pinter (($11million)
Hivi ni wanda vichache kati vingi vilivyoanzishwa wakati wa Magufuli. Ukitaka list jaribu kuingia katika tovuti za serkali mwenyewe. Kwa msaada fuata hii tovuti ifuatayo: https://www.dnb.com/business-directory/company-information.manufacturing.tz.html
Tupe historia kilianza kujengwa lini ?maana kufungua alikuwa akifungua hata viwanda vya enzi ya nyerere, barabara za kikwete kazifungua Sana huyu jamaaMwaka 2018 tarehe 02 mei Hayati Magufuli alifungua kiwanda kikubwa Sana kule Iringa na siku hiyo nilikuwepo ,nimekupa mfano hai kabisa. Haya huyo Babu anaposema uongo anamaanisha nini?
Mapenzi ya kijingaShida ni kwamba wanachi waliowengi bado wanamapenzi makubwa na Magufuli.
watafute mbinu mpya ya kumchafua Magufuli mtu wa watu.
Kwani ilikuwa ilani ya Magufuli au ilani ya CCM. Viongozi wengine wa CCM siwapo muwaulize? Kwamba ilani ilisema viwanda, mmejenga vingapi? Watakuambia. Kwa nn mnamuuliza marehemu? Wengine wote wa Serikali ni wale wale!! Kwa nn serikali hii inajifanya kama ni nyengine wakati watu walewale, palipokosewa na wao hawawezi kukwepa, Nape pia alikuwepo serikali ile na alipigia kampeni. Msituletee kichefu hefuKwenye hii comment sijaona mahali umeonesha kiwanda alichojenga Magufuli. Wakati ule tuliambiwa vimejengwa viwanda 3000, viko wapi?
Umeshajibiwa, na hivyo vyengine navyo huvitaki?Umeingiza JAMBO FOOD nikajua moja kwa moja huu ni uongo...
Mimi naishi Shinyanga mkubwa. JAMBO FOOD a.k.a JAMUKAYA iko Shinyanga. Kiwanda hiki kimekuwepo miaka mingi hata kabla John Pombe Magufuli hajaota kuwa Rais..
Jambo Food alianza uwekezaji wake miaka mingi kabla hata ya Jakaya Kikwete kuwa Rais.
Jambo alianza kwa kujikita zaidi kwenye COTTON GINNING [GINNERIES] na baadaye baadaye akajiingiza kwenye sekta ya vyakula na vinywaji...
Labda ili wueleweke kwa urahisi, taja kiwanda na mwaka kilipoanza. Hii itasaidia watu kufanya follow up....
Otherwise, acheni kutoa data za kupika kwa manufaa ya kisiasa eti tu kumuinua na kui - please maiti ya mtu aliyekwisha kufa na kuoza chini ya ardhi...!!
Huu sio ujinga na UPUMBAVU kweli..?
Kutaja tu haitoshi. Mwambie aseme viko wapi na kila kiwanda hicho kilianzishwa mwaka gani...Umeshajibiwa, na hivyo vyengine navyo huvitaki?
Mwanza Kiwanda cha dhahabu.Kutaja tu haitoshi. Mwambie aseme viko wapi na kila kiwanda hicho kilianzishwa mwaka gani...
Hiki cha Jambo Food it just happened kuwa nakifahamu. Na kuna kiwanda fulani cha madawa Mwanza kilifunguliwaga/zinduliwaga na Jakaya Kikwete lakini kwa kupenda sifa za kijinga, huyu Magufuli naye akaenda kukizindua tena..!
Jamaa huyu Magufuli alikuwaga mwongio sana. Na kwa kweli, haikufaaga tuwe na Rais mwongo kiasi kile...
Nimesema hivi, hao "SUKUMA GANG" waache kutengeneza takwimu za kisiasa eti tu kujaribu kuisifu na kuiabudu maiti ya mtu aitwaye Magufuli inayooza mavumbini...
Nimesema pia kuwa, huo ni ujinga na ni upambavu wa mwanadamu anayeishi chini ya jua...
Vioski vya kuulizia bei ya madini ikiwemo dhahabu navyo kumbe ni viwanda?Mwanza Kiwanda cha dhahabu.
Mm nipo hapa najaribu kutafakari juu ya idadi kubwa ya members walio like Post hii..!!!Amesema anaomba aoneshwe hata kiwanda kimoja kilichojengwa na serikali ya Magufuli.
Amesema utawala wake ndiyo umesababisha ukame wa ajira kwa vijana mpk kuibuka kwa panyaroad.
Legacy kwisha! Kwisha kabisaaaa!
Chanzo: Hashimu Rungwe anahojiwa startv muda huu.
View attachment 2224647
View attachment 2224648
Kiwanda cha Viatu cha Jeshi la Magereza Karanga Moshi, kina miaka mingi saaaaana! Tangu enzi za Nyerere1.Kiwanda cha viatu cha Magereza Kilimanjaro
2.Kiwanda Cha maji ya kunywa cha JKT
3.Kiwanda cha dawa za viatu cha Kangaroo (Bagamoyo)
Au navyo vimeletwa wakati wa Mama!!