Hashimu Rungwe: Magufuli alikuwa anaimba viwanda lakini hakujenga hata kimoja

Hashimu Rungwe: Magufuli alikuwa anaimba viwanda lakini hakujenga hata kimoja

Hakuna mtu hata mmja mwenye akili timamu alimuelewa yule mtu wenu ,alikuwa kituko

Watu wasiomuelewa Magufuli wana upofu wa maana…elimu ya mkoloni imefanikiwa kwao..na sidhani km wataona in this lifetime…tuzidi kuomba Mungu atupatie kiongozi mwenye macho na ujasiri km JPM

Nikiwaza zaidi Nyerere alipata shida sana kuongoza kipindi kile…taifa la watu wajinga…akapambana akapeleka shule wakaelimika baadae akaja kugundua mtu anaweza akasoma ila uzalendo na kuitumia elimu kwa manufaa ya wananchi inategemea na utashi wa mtu na ni zawadi kwa Mungu…

Asante Mungu kwakutupa JPM umlaze mahali pema peponi…
 
Nguvu kubwa ya watu wa kipato Cha kati na juu inatumika kuondoa LEGACY ya MWAMBA
Tunajisahaulisha kuwa huko kwa wananchi wa daraja la tatu UZUSHI wetu hauna nafasi!!

Na ukihitaji kwa urahisi na HARAKA KUPIGWA mawe huko kwa wananchi halisi basi Mimi na wewe tubebe hoja hizi na kuzifikisha kwao
 
Nawasikitikia Sana wajukuu zake maana kumuita Babu mtu kama huyu ni aibu, ninachojua mpaka mtu astahili kuitwa Babu anatakiwa kuonesha kiwango cha hekima na busara kisichotiliwa shaka.

Mzee Rungwe leo kadhalilisha wazee wenye rika Kama lake bora angekaa kimya tusingejua uzee wake
Hashimu Rungwe kaomba kama kuna mtu anayejua kiwanda hata kimoja kilichojengwa na Magufuli kilipo amuoneshe...

Cha ajabu ulivyo mjinga wewe, umeanza kumshambulia yeye binafsi na uzee wake badala ujibu hoja/swali...!!

This shows the degree of your ignorance and stupidity....!
 
Kiukweli waumini wa legacy wanapata taabu sana kumtetea yule msanii
Haipo kaenda nayo

1652628065754.png
 
Naona mmekomaa na kutaja viwanda. Viwanda na kampuni zenye ajira kubwa zilizoanza wakati wa Magufuli, kwa kutaja chache:
Gas Security Services ($221million)
Jambo Foods ($130millions)
KAMAKA Co. ($92million)
Red Earth ($52million)
ASCO Taduing ($39million)
Five Star Pinter (($11million)
Hivi ni wanda vichache kati vingi vilivyoanzishwa wakati wa Magufuli. Ukitaka list jaribu kuingia katika tovuti za serkali mwenyewe. Kwa msaada fuata hii tovuti ifuatayo: https://www.dnb.com/business-directory/company-information.manufacturing.tz.html
Umeingiza JAMBO FOOD nikajua moja kwa moja huu ni uongo...

Mimi naishi Shinyanga mkubwa. JAMBO FOOD a.k.a JAMUKAYA iko Shinyanga. Kiwanda hiki kimekuwepo miaka mingi hata kabla John Pombe Magufuli hajaota kuwa Rais..

Jambo Food alianza uwekezaji wake miaka mingi kabla hata ya Jakaya Kikwete kuwa Rais.

Jambo alianza kwa kujikita zaidi kwenye COTTON GINNING [GINNERIES] na baadaye baadaye akajiingiza kwenye sekta ya vyakula na vinywaji...

Labda ili wueleweke kwa urahisi, taja kiwanda na mwaka kilipoanza. Hii itasaidia watu kufanya follow up....

Otherwise, acheni kutoa data za kupika kwa manufaa ya kisiasa eti tu kumuinua na kui - please maiti ya mtu aliyekwisha kufa na kuoza chini ya ardhi...!!

Huu sio ujinga na UPUMBAVU kweli..?
 
Mwaka 2018 tarehe 02 mei Hayati Magufuli alifungua kiwanda kikubwa Sana kule Iringa na siku hiyo nilikuwepo ,nimekupa mfano hai kabisa. Haya huyo Babu anaposema uongo anamaanisha nini?
Tupe historia kilianza kujengwa lini ?maana kufungua alikuwa akifungua hata viwanda vya enzi ya nyerere, barabara za kikwete kazifungua Sana huyu jamaa
 
Kwenye hii comment sijaona mahali umeonesha kiwanda alichojenga Magufuli. Wakati ule tuliambiwa vimejengwa viwanda 3000, viko wapi?
Kwani ilikuwa ilani ya Magufuli au ilani ya CCM. Viongozi wengine wa CCM siwapo muwaulize? Kwamba ilani ilisema viwanda, mmejenga vingapi? Watakuambia. Kwa nn mnamuuliza marehemu? Wengine wote wa Serikali ni wale wale!! Kwa nn serikali hii inajifanya kama ni nyengine wakati watu walewale, palipokosewa na wao hawawezi kukwepa, Nape pia alikuwepo serikali ile na alipigia kampeni. Msituletee kichefu hefu
 
Umeingiza JAMBO FOOD nikajua moja kwa moja huu ni uongo...

Mimi naishi Shinyanga mkubwa. JAMBO FOOD a.k.a JAMUKAYA iko Shinyanga. Kiwanda hiki kimekuwepo miaka mingi hata kabla John Pombe Magufuli hajaota kuwa Rais..

Jambo Food alianza uwekezaji wake miaka mingi kabla hata ya Jakaya Kikwete kuwa Rais.

Jambo alianza kwa kujikita zaidi kwenye COTTON GINNING [GINNERIES] na baadaye baadaye akajiingiza kwenye sekta ya vyakula na vinywaji...

Labda ili wueleweke kwa urahisi, taja kiwanda na mwaka kilipoanza. Hii itasaidia watu kufanya follow up....

Otherwise, acheni kutoa data za kupika kwa manufaa ya kisiasa eti tu kumuinua na kui - please maiti ya mtu aliyekwisha kufa na kuoza chini ya ardhi...!!

Huu sio ujinga na UPUMBAVU kweli..?
Umeshajibiwa, na hivyo vyengine navyo huvitaki?
 
Umeshajibiwa, na hivyo vyengine navyo huvitaki?
Kutaja tu haitoshi. Mwambie aseme viko wapi na kila kiwanda hicho kilianzishwa mwaka gani...

Hiki cha Jambo Food it just happened kuwa nakifahamu na kumkatalia uongo wake...

By the way, kuna kiwanda fulani cha madawa huko Mwanza maeneo ya Buhongwa/Nyashishi kiliwahi kuanzishwa na kufunguliwa/zinduliwa wakati wa Jakaya Kikwete...

Lakini kwa kupenda sifa za kijinga, huyu John Pombe Magufuli anayelazimishiwa kupakwa legacy isiyokuwepo wala kustahili, eti naye wakati fulani akakizindua tena..!

Likely, "THE SUKUMA GANG" wakaja hapa na kukiweka ktk orodha ya hivyo vinavyoitwa "viwanda vya legacy ya Magufuli" vya aliyekuwa dikteta uchwara huyo..!!

Jamaa huyu Magufuli alikuwaga mwongio sana. Na kwa kweli, haikufaaga tuwe na Rais mwongo kiasi kile...

Nimesema hivi, hao "SUKUMA GANG" waache kutengeneza takwimu za kisiasa eti tu kujaribu kuisifu na kuiabudu maiti ya mtu aitwaye Magufuli inayooza mavumbini...

Nimesema pia kuwa, huo ni ujinga na ni upambavu wa mwanadamu anayeishi chini ya jua...
 
Kutaja tu haitoshi. Mwambie aseme viko wapi na kila kiwanda hicho kilianzishwa mwaka gani...

Hiki cha Jambo Food it just happened kuwa nakifahamu. Na kuna kiwanda fulani cha madawa Mwanza kilifunguliwaga/zinduliwaga na Jakaya Kikwete lakini kwa kupenda sifa za kijinga, huyu Magufuli naye akaenda kukizindua tena..!

Jamaa huyu Magufuli alikuwaga mwongio sana. Na kwa kweli, haikufaaga tuwe na Rais mwongo kiasi kile...

Nimesema hivi, hao "SUKUMA GANG" waache kutengeneza takwimu za kisiasa eti tu kujaribu kuisifu na kuiabudu maiti ya mtu aitwaye Magufuli inayooza mavumbini...

Nimesema pia kuwa, huo ni ujinga na ni upambavu wa mwanadamu anayeishi chini ya jua...
Mwanza Kiwanda cha dhahabu.
 
The general Tyre ya Arusha ilihitajika Kia's Cha bilion Kam 10 HV kufufuliwa na kufungwa mitambo mipya ili iweze kuzaliasha Tyre na kuuza nnchi nzima ila ajabu pesa hzo zipo zinatafunwa tu kwa kujengewa madaraja ya busis na kuzindua royal tour

Hcho kiwanda kingeajiri wanachato 3000 ajira za kudumu

Hata angefufua na kumpa ukurugenzi mwanae au doto James ingewasadia wanna chato
 
Amesema anaomba aoneshwe hata kiwanda kimoja kilichojengwa na serikali ya Magufuli.

Amesema utawala wake ndiyo umesababisha ukame wa ajira kwa vijana mpk kuibuka kwa panyaroad.

Legacy kwisha! Kwisha kabisaaaa!

Chanzo: Hashimu Rungwe anahojiwa startv muda huu.
View attachment 2224647

View attachment 2224648
Mm nipo hapa najaribu kutafakari juu ya idadi kubwa ya members walio like Post hii..!!!
 
1.Kiwanda cha viatu cha Magereza Kilimanjaro
2.Kiwanda Cha maji ya kunywa cha JKT
3.Kiwanda cha dawa za viatu cha Kangaroo (Bagamoyo)
Au navyo vimeletwa wakati wa Mama!!
Kiwanda cha Viatu cha Jeshi la Magereza Karanga Moshi, kina miaka mingi saaaaana! Tangu enzi za Nyerere
 
Back
Top Bottom