Hashimu Rungwe: Magufuli alikuwa anaimba viwanda lakini hakujenga hata kimoja

Hashimu Rungwe: Magufuli alikuwa anaimba viwanda lakini hakujenga hata kimoja

Nawasikitikia Sana wajukuu zake maana kumuita Babu mtu kama huyu ni aibu, ninachojua mpaka mtu astahili kuitwa Babu anatakiwa kuonesha kiwango cha hekima na busara kisichotiliwa shaka.

Mzee Rungwe leo kadhalilisha wazee wenye rika Kama lake bora angekaa kimya tusingejua uzee wake
Ndipo tunapokosea call a spade a spade amesema ukweli wote. Huyu mzee mzuri sana.
 
Mkuu kiwanda gani hicho kikubwa kilichofunguliwa Mkoa wa Iringa?
Acha uwongo na kushabikia vitu visivyo vya kweli
Asas alikuwa na viwanda vya maziwa siku nyingi eti Mwendazake alijifanya kwenda kuzindua 😂😂😂

On top of that akaenda eti kuzindua incubators za kampuni ya Silver lands 🤣🤣🤣
 
Mzee wa ubwabwa naona kaamua kumwaga mboga, hii lazima uwaibue shimoni waandika legacy.
 
Mzee wa ubwabwa naona kaamua kumwaga mboga, hii lazima uwaibue shimoni waandika legacy.
Ukiona Samia kainua mguu wake kwenda sehemu ujue kuna kitu cha maana anaenda kufanya ..

Ila yule mtu wenu sasa alikuwa kila siku maigizo afu hakuna kinachofanyika..

Magufuli aliwahi zindua ujenzi wa Bomba la EACOP lakini hadi leo hakuna ujenzi ndio kwanza serikali zinalipa fidia na kusaizi security pacts 😆😆..

Mwendazake aliwahi zindua ujenzi wa Dodoma Ring Road wakati hakuna hata mia wala Mkandarasi 🤣🤣 lakini tuliona juzi Samia akizindua ujenzi ambao umeanza tena mbele ya watoa fedha Mkurugenzi wa Afdb..

Kwa kwa kweli Mwendazake alikuwa vituko,aliwahi zindua barabara zilizokuwa zimekamilika toka 2014 yeye kaja eti kuzindua mwaka 2017 😬😬😬

Samia hana maigizo ya kitoto kama hayo na akitaka atafute kiki atachoka mwenyewe maana kwake vya kuzindua ni vingi mno? 👇

Screenshot_20220516-083240.png


Screenshot_20220516-083203.png
 
Kweli kabisa, alisimamisha ajira kwa miaka sita, lakini rekodi zinaonyesha alikuwa anajaza watu wa Chato katika usalama(bila shaka mama atawaondoa) na nafasi nyeti serikali.
Awaondoe tu aweke Wazenji wenzie kwani shida iko wapi? Watanganyika watu wa ajabu sana wacha Royal Tour atufilisi tunachekelea tu na kuendelea kupambana na Magufuli ambaye hawezi kutujibu.
 
Amesema anaomba aoneshwe hata kiwanda kimoja kilichojengwa na serikali ya Magufuli.

Amesema utawala wake ndiyo umesababisha ukame wa ajira kwa vijana mpk kuibuka kwa panyaroad.

Legacy kwisha! Kwisha kabisaaaa!

Chanzo: Hashimu Rungwe anahojiwa startv muda huu.
View attachment 2224647

View attachment 2224648
Enzi ya awamu ya 5 watz wengi walifilisika na masikini kuongezeka yule magu alifeli sana
 
Huyunae ni mchumiatumbo.
Ukiona mtu anawazakula kilasaa ujue kuna loose connection mahala, huyu sindio alikuwa anatembea na masufuria ya wali kwenye kampeniza?,alipata kura ngapi?.
 
Huyo mzee Anazeeka,hata sisi Sote Tutazeeka isipokuwa yeye Anazeeka Vibaya..!

Anayo sifa Ya Kung'ang'ania Nafasi Kama Rafiki Yake Mbowe...... Hivi mmeshamuuliza 2025 Atagombania tena Uraisi na Zile Sera Zake Za 'Ubwabwa'..
Anasemaga eti mtu akishiba ndio anapata akili, anadhani akili zipo tumboni.
 
1.Kiwanda cha viatu cha Magereza Kilimanjaro
2.Kiwanda Cha maji ya kunywa cha JKT
3.Kiwanda cha dawa za viatu cha Kangaroo (Bagamoyo)
Au navyo vimeletwa wakati wa Mama!!
Vilikufa kabla hajafa. Eti maji piga picha hata chupa yake tu.
Eti tuna viwanda zaidi ya elfu 3.
 
Viwanda vingi Sana vimejengwa mkuranga mfano Rhino cement, tiles, kiwanda cha nyama, kiwanda cha matunda cha Azam, we unaishi mkoa gani?
Hahahhaaaa!!!Serikali yangu imejenga viwanda zaidi ya elfu 3.ushuzi.
Vyote ulivyo taja vilikuwepo kabla yake.
 
Kwenye uchumi wa kibepari, Serikali haijengi viwanda ila huandaa mazingira rafiki kwa wawekezaji kuvijenga, ila inaweza kushiriki kama sehemu ya ubia tu.
Serikali ya kibepari ndio ile ya Magufuli iliyokuwa inagawa tenda zote kwa taasisi za serikali. Hata mgambo nao ni kampuni ya serikali wanatumia Suma JKT, ubepari ulikuwa mbali na Magufuli
 
Serikali ya kibepari ndio ile ya Magufuli iliyokuwa inagawa tenda zote kwa taasisi za serikali. Hata mgambo nao ni kampuni ya serikali wanatumia Suma JKT, ubepari ulikuwa mbali na Magufuli
Magufuli alikuwa 'mjamaa'.
 
Kwaio kile kiwanda cha ngozi cha magereza kule kwa shemeji zangu Moshi alijenga Rungwe?
Kiwanda cha Sare za Jeshi kurasini, kiwanda cha maji JKT?
Na hivi vyote vinafanya production.
Km hamna taarifa ni bora mue mnakaa kimya.
Serikal ilishaacha kujenga viwanda na kaz yakujenga viwanda imeachiwa sekta binafsi, kwa dunia yaleo kuna Raisi anayejenga viwanda?
 
Dah...Kwa Umri Wake Yule Mzee hakika ilikuwa ndo awe Mfano wa Wapinzani Makini, Lkn Kila nikimwangalia Sioni Uwakilishi Wa Upinzani makini...!

Nadhani hata Yeye Mwenyewe Kajiweka Kundi La Upinzani Wa jokes ndo Mana Kwenye Kampeni zake Alikuwa anatembea na MAHOTIPOTI Ya Ubwabwa.

Yawezekana Hakuna Kiwanda Kilichokamilika...Lkn ni Kweli Vyote vilivyokuwepo kwenye Ilani ya chama Hakuna kilichokamilika...!
Ipo haja Kuomba Mungu wakati Unazeeka Uzeeke Vizuri.
yeye kasemea viwanda wewe unatiririka na ilani. walimu wana kazi sana aisee
 
Back
Top Bottom