Hashimu Rungwe: Magufuli alikuwa anaimba viwanda lakini hakujenga hata kimoja

Mwaka 2018 tarehe 02 mei Hayati Magufuli alifungua kiwanda kikubwa Sana kule Iringa na siku hiyo nilikuwepo ,nimekupa mfano hai kabisa. Haya huyo Babu anaposema uongo anamaanisha nini?
Kwa hiyo ule wimbo wake wa Tanzania ya viwanda ukaishia kufungua kiwanda cha asas,Asas ana miaka mingapi hapa Tanzania?

Mzee wenu alikuwa tapeli 😬😬
 
Nawasikitikia Sana wajukuu zake maana kumuita Babu mtu kama huyu ni aibu, ninachojua mpaka mtu astahili kuitwa Babu anatakiwa kuonesha kiwango cha hekima na busara kisichotiliwa shaka.

Mzee Rungwe leo kadhalilisha wazee wenye rika Kama lake bora angekaa kimya tusingejua uzee wake
Weka data,jiwe alijenga kiwanda gani? au ni hivi vya kuchomelea mageti
 
Dah...Kwa Umri Wake Yule Mzee hakika ilikuwa ndo awe Mfano wa Wapinzani Makini, Lkn Kila nikimwangalia Sioni Uwakilishi Wa Upinzani makini...!
Nadhani hata Yeye Mwenyewe Kajiweka Kundi La Upinzani Wa jokes ndo Mana Kwenye Kampeni zake Alikuwa anatembea na MAHOTIPOTI Ya Ubwabwa.
Yawezekana Hakuna Kiwanda Kilichokamilika...Lkn ni Kweli Vyote vilivyokuwepo kwenye Ilani ya chama Hakuna kilichokamilika...!
Ipo haja Kuomba Mungu wakati Unazeeka Uzeeke Vizuri.
Nionesheni kiwanda ili nijue nani mkweli?
 
Hapo ndo umejibu hoja ya mzee? Onyesha kiwanda alichojenga Magufuli.
Acha Kuvitetea hivi 'Vibabu' Mbowe na Rungwe..... yaani Watu tupo shule za Sekondari vyenyewe vipo kwenye nafasi Ya Mwenyekiti..! Tukapiga hatua Vyuo bado vipo Palepale...!

Tumebangaliza Wee mtaani na bahasha Za Vyeti kutafuta kazi hapa na pale na Sasa Tupo sehemu tunapiga Mzigo..!

Kutahamaki Bado hivi Vizee Vipo pale pale..! Hivi Katiba Zao huko Zinasemaje jama.?
Madai ya Katiba mpya ni Bora Yangeanzia ndani Ya Vyama..!

Haiwezekani Wewe uwe na Kiongozi tena nafasi M/kiti hujui Ukomo wa Nafasi Hiyo ni lini...? Watu wanapokezana vijiti Yeye Kavimba tu...!
Uliza nini Kimefanyika nitiririke kile ambacho tangu Uhuru watangulizi Walijitahidi kufanya wakapata changamoto ya Panya buku.....
 
Wewe mtu na akili zake aligombea urais anasema sera yake ni kugawa ubwabwa bado mna argue nae?
 
Nawasikitikia Sana wajukuu zake maana kumuita Babu mtu kama huyu ni aibu, ninachojua mpaka mtu astahili kuitwa Babu anatakiwa kuonesha kiwango cha hekima na busara kisichotiliwa shaka.

Mzee Rungwe leo kadhalilisha wazee wenye rika Kama lake bora angekaa kimya tusingejua uzee wake
Amekuwa mkweli, kwani ni uongo. Onesha kiwanda kimoja tu labda vyerehani
 
Back
Top Bottom