nafahamu vingi sana vya binafsi vilivyofunguliwa wakati wa utawala wakeEbu tutajie hivyo vingi vilivyofunguliwa unavyovijua wewe?
Amesema anaomba aoneshwe hata kiwanda kimoja kilichojengwa na serikali ya Magufuli.
Amesema utawala wake ndiyo umesababisha ukame wa ajira kwa vijana mpk kuibuka kwa panyaroad.
Legacy kwisha! Kwisha kabisaaaa!
Chanzo: Hashimu Rungwe anahojiwa startv muda huu.
View attachment 2224647
View attachment 2224648
Ulichoandika ni cha ukweli kazi ya Serikali ni kutengeneza sera na mazingira wezeshi ya uanzishwaji viwanda na kuvi regulate. Je Magufuli alfanya nini katika hili? Sanasana kupitia yule VUVUZELA wake Charles Mwijage ilikuwa ni kutamka maneno ya Tanzania ya viwanda kwa kutegemea mafundi vyerehani walioko vibarazani na vyerehani 3. Au wapika maandazi wa Ipogoro pale Iringa.Katika mfumo wa Uendeshaji uchumi wa Soko Huria dhima ya kujenga viwanda sio ya serikali, ni ya sekta binafsi. Serikali kazi yake ni kuweka institutional frameworks nzuri kuwezesha sekta binafsi kuwekeza.