The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Akihojiwa na kituo cha tv mheshimiwa Rungwe amesema wanamkaribisha sana Mbatia kwenye chama chao cha chauma na watamtafutia kazi ila asiwe na wazo la kuwa mwenyekiti maana mwenyekiti tayari yupo.
Ameenda mbali na kusema kama ni suala la kukaa muda mrefu kwenye uenyekiti wa chama basi yeye pamoja na wenyeviti wenzake wanaotuhumiwa kukaa muda mrefu hawamfikii mwalimu Nyerere, yeye alikaa kwenye uenyekiti kuliko wote.