Hasira baada ya Quran kuchomwa nje ya msikiti Sweden

Haruni na Suleiman hawakuwa manabii🀣🀣🀣🀣
 
Mimi vitendo hivi naviona kama vinawaondoa watu miaka ya giza na kuwaleta kwenya miaka ya sasa. Kuna watu bado wapo vifungoni sana na wapo miaka ya 1400 huko.
Sasa hivi wataanza kuzoea na soon wataanza kujicheka
Quran na Biblia zipo kwenye App unadownload unaendelea kujisomea huyo anaechoma anajisumbua
 
Unauhakika na uyasemayo!?
Embu tuoneshe uhaki wake ulipo kuzidi ukristo!?
 
Kijana haipo dini ya kweli.

Ila kuna yenye uafadhali.

Buddhism βœ…
 
Hawa jamaa kila mtu maarufu wa taifa la Israel wanamwita nabii.

Hata Adam anaitwa nabii...just imagine.

Ndio tatizo la mohamad kuokoteza maandiko ya watu... yaani ni full uzushi tu.
Kwanini wasitafute wao πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Kwanini wasitafute wao [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Watafute wao wapi hao? Kwani wanao?

Mohamad ndio mtume pekee kwenye Quran ambaye sio wa taifa la Israel.

Ndio maana ikabidi achukue figures wa dini ya kiYahudi na Kikristo, abadili-badili story halafu aseme hao ni wa Alah.

Halafu kila figure maarufu wa kwenye Biblia akampachika Unabii. Yaani mpaka LUTU (Loth) mpwa wa Ibrahim eti naye wanamuita Nabii.[emoji1787]

Mimi naonaga ni utapeli mtupu kwa kweli to be frank.
 
Hawa jamaa🀣🀣🀣🀣

Kuna mstari kwao unasema JEHANAHU haitajaa hadi AALA atie unyayo wake
 
Kipi kinachothibitisha kuwa uislamu ni ukweli na ukristo ni uongo kama siyo maneno yenu wenyewe waislam, je mungu mwenyewe aliwahi kushuka akawaambia ya kuwa uislamu ndio dini ya kweli na ukristo ni dini ya uongo, ni misingi ipi au nguvu ipi inayothibitisha hilo
 
Imani zingine ni sawa na mungu baal asiye na nguvu bali hutetewa na waumini wake.
Mwache Mungu ajitetee mwenyewe
 
Uthibitisho wa uwepo wake ni kuwepo kabla ya hayo unayodai ni kuwepo kwa mbingu ,Ardhi na vilivyomo maana yeye ndiye Muumba na muendeshaji wa hivyo vitu.

Wazungu na Europeans hapo kuna tofauti gani ? kila kabila na Taifa lina jina lake hata kama walikuwa hawamuiti Allah maadam wanamaanisha Mungu Mungu mmoja Mola mlezi Muumba muendeshaji wa ulimwengu wote aliyetakasika na asiye na mshirika basi ni huyo ni Allah.

#Nimemaliza
 
Mungu wa Waisraeli aliyepo kwenye Biblia na kwenye Tanakh ya wayahudi haitwi Alah..anaitwa YAHWEH na jina lake lingine alilojitambulisha nalo kwa Musa anaitwa NIKO AMBAYE NIKO (I AM THAT I AM).

Nanukuu Kitabu cha Kutoka kwenye Biblia(ambacho ni maneno yaleyale yaliyopo kwenye Tanakh ya wayahudi)

Kutoka 3:13-14[emoji116]
Musa akamwambia Mungu, Tazama, nitakapofika kwa wana wa Israeli, na kuwaambia, Mungu wa baba zenu amenituma kwenu; nao wakaniuliza, Jina lake n'nani? Niwaambie nini?

14 Mungu akamwambia Musa, MIMI NIKO AMBAYE NIKO;akasema,Ndivyo utakavyowaambia wana wa Israeli;MIMI NIKO amenituma kwenu

[emoji115]
Huyo ndio Mungu wa Waisraeli, hata ukifungua Tanakh yao, utakutana na hilo jina.

Sasa nenda kawaulize Waisraeli Mungu wao anaitwa nani? Unafikiri watamtaja Alah?

Watamtaja huyo hapo juu aliyejitambulisha kwa jina lake.. NIKO AMBAYE NIKO... ambaye pia wanamwita YAHWEH.
 
Elimu ni bahati usilazimishe niamini Source yako ,mimi nimesema hivyo sasa .
Source yako Kutoka Uarabuni karne ya 7, miaka 3000 baada ya Daudi kufa, kutoka kwa mtu ambaye hata hakuwahi kukanyaga ardhi ya Israeli zaidi ya kuishi jangwani mapangoni na kusikia story za wayahudi mtaani?

Are you people serious?
 
Kwanza unatakiwa kuelewa kuwa nchi za Ulaya hakunaga sheria za kuzuia kuchoma Biblia, Quran, Bendera au kitu chochote ispokuwa tu usichome moto mkubwa utaoleta hatari kwa mazingira.

Na hili tukio sio la kwanza linafanyika hapo Sweden, kwa huu mwaka yamefanyika matukio kama hayo matatu hadharani.

Matukio hayo mawili hayakuweza kusikika kwasababu yalifanyika pengine sehemu ambayo waislamu sio wengi.

Mwezi wa kwanza hapo Sweden ilichomwa Torati ya myahudi tena mbele ya ubalozi wa Israel na waislamu waliungana na wayahudi kufanya maandamano kupinga kitendo hicho. Unaweza kusoma hapa

Maandamano mengine waliyafanya waislamu Sweden mwezi wa pili mwaka huu.

Haya ndio nayakumbuka zaidi kwasababu protestors wengi walikuwa ni waturuki, sasa wakosoaji wa hayo maandamano walikuwa na kauli moja wakisema

"Wa Sweden wamechoma Quran, Waturuki wanaitetea. Sasa kwanini Allah alituma tetemeko Uturuki na sio Sweden??"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…