Hasira ya Mungu imeshuka juu ya LOS ANGELES, inateketea Kama Sodoma Na Gomora

Hasira ya Mungu imeshuka juu ya LOS ANGELES, inateketea Kama Sodoma Na Gomora

Majanga tu kama majanga mengine kuhusu chanzo ngoja tusubiri taarifa kutoka whitehouse. Mimi niko namanyele siwezi kujua chanzo cha moto uliotokea USA
 
Leo tuwe na mjadala huu: kuna vitu vinahitaji watu wavielewe kiundani.

Wewe unahisi Chanzo cha moto wa Los Angeles California ni kipi? Toa sababu unazozijua
Nahisi majaribio ya Kufanya maangamizi!
Shangaa na ww shirika la Bima la USA lilivunja Mkataba na wateja wake wa eneo hilo siku chache kabla ya janga la moto!
Inavyo fahamika Hilo shirika wapo update Kwa kupata Taarifa Nyeti toka vyanzo Tofauti....
 
Leo tuwe na mjadala huu: kuna vitu vinahitaji watu wavielewe kiundani.

Wewe unahisi Chanzo cha moto wa Los Angeles California ni kipi? Toa sababu unazozijua

Tujue kuwa kila jambo linalotokea duniani tuliite baya ama zuri, huwa Lina chanzo chake katika ulimwengu wa roho. Ulimwengu wa roho una pande mbili: 1. nuruni (Mungu) na 2. gizani (shetani).
California walimdhihaki na kumkataa Mungu. Hivyo akaruhusu jambo la moto liwapate wajue Yuko Mungu mbinguni. Dawa ya moto huo ni nini?
TOBA YA KWELI.
 
Mioto California inatokea kila mwaka na kuchoma maelfu ya hekta za mapori, zamu hii umepita kwenye makazi ya watu basi prophets of doom washapata vya kutishia watu na kujustify miconspiracies yao

Ref: List of California wildfires - Wikipedia
 
Attachments

  • Screenshot (1).png
    Screenshot (1).png
    427.6 KB · Views: 2
  • Screenshot (2).png
    Screenshot (2).png
    231.6 KB · Views: 2
  • Screenshot (3).png
    Screenshot (3).png
    241.3 KB · Views: 2
Kwamba huko Los Angeles ndio kuna maovu kuliko sehemu zingine za dunia? Kwamba sehemu kama dar watu hawaishi usodoma?
Dar wanaruhusu wanaume kwa wanaume kuoana?

Wanawake kwa wanawake kuoana?

Dar kuna club za mashoga tu? Club za wasagaji tu?

Dar wameruhusu watu kucheza porn movies?

Dar wameruhusu kubadilisha jinsia?
 
Tujue kuwa kila jambo linalotokea duniani tuliite baya ama zuri, huwa Lina chanzo chake katika ulimwengu wa roho. Ulimwengu wa roho una pande mbili: 1. nuruni (Mungu) na 2. gizani (shetani).
California walimdhihaki na kumkataa Mungu. Hivyo akaruhusu jambo la moto liwapate wajue Yuko Mungu mbinguni. Dawa ya moto huo ni nini?
TOBA YA KWELI.
Bullshit. California moto huwaka kila mwaka kutokana na uoto wake na hali ya hewa. Wana mpaka kitu kinaitwa "fire season". Tofauti ni kwamba mwaka huu moto umeambatana na upepo mkali ukawa mgumu kuudhibiti.
 
Dar wanaruhusu wanaume kwa wanaume kuoana?

Wanawake kwa wanawake kuoana?

Dar kuna club za mashoga tu? Club za wasagaji tu?

Dar wameruhusu watu kucheza porn movies?

Dar wameruhusu kubadilisha jinsia?
Acheni uzushi wenu. Kwani ndoa za jinsia moja, movies za porn na kubadilisha jinsia vinafanyika California peke yake? Mbona hatusikii sehemu nyingine zikiungua?
 
Bullshit. California moto huwaka kila mwaka kutokana na uoto wake na hali ya hewa. Wana mpaka kitu kinaitwa "fire season". Tofauti ni kwamba mwaka huu moto umeambatana na upepo mkali ukawa mgumu kuudhibiti.
moto hutokea kwa sababu, na upepo kuwa mkali husababishwa na sababu. nothing happens without a cause.

On earth, nothing happens by chance but by design. Ni kawaida watu kufa (maana kuna vifo kila siku) ILA KILA KIFO HUWA KINA SABABU.
 
Acheni uzushi wenu. Kwani ndoa za jinsia moja, movies za porn na kubadilisha jinsia vinafanyika California peke yake? Mbona hatusikii sehemu nyingine zikiungua?
Mungu anaenda hatua kwa hatua kama wewe ni shoga au mbadilisha jinsia utafikiwa tu.
 
Back
Top Bottom