Hasira ya Mungu imeshuka juu ya LOS ANGELES, inateketea Kama Sodoma Na Gomora

Hasira ya Mungu imeshuka juu ya LOS ANGELES, inateketea Kama Sodoma Na Gomora

Wanapenda sana kujenga kwa mbao badala ya tofari. Nyumba ya tofari hata ikiungua kuta zinabaki, inahitaji ukarabati mdogo wa kuondoa moshi.
 
Wanapenda sana kujenga kwa mbao badala ya tofari. Nyumba ya tofari hata ikiungua kuta zinabaki, inahitaji ukarabati mdogo wa kuondoa moshi.
Sio kupenda geography ya eneo usika ile seem kuna kipindi cha Barafu mapukutiko hatari sana watu wanakufa asa walevi wakianguka njian wamekwisha kipindi icho ndio mbao inasamani kuliko chengine chochote!!! Mbao inazuiya nyumba isiwe FRIJI!! unaweza kuganda ndani uko uko!!
 
Jinamizi la MOTO linazidi kukua inchin marekani sasa unachoma misitu mikubwa,
 
Na hivi ndivyo watakavofanywa wanaopindukia mipaka kwenye kufuru.
 
Back
Top Bottom