Hasira ya Mungu imeshuka juu ya LOS ANGELES, inateketea Kama Sodoma Na Gomora

Porojo tu hizo, hamna lolote.
Ivi mnajua MOTO umeanza upya uko jiji la Los Angeles kinawaka tena walokole mfunge ili MUNGU apunguze kuiyadhibu marekani !!! Itakuweje ikiwa marekani itapukutika!!!!
 
Wanapenda sana kujenga kwa mbao badala ya tofari. Nyumba ya tofari hata ikiungua kuta zinabaki, inahitaji ukarabati mdogo wa kuondoa moshi.
 
Wanapenda sana kujenga kwa mbao badala ya tofari. Nyumba ya tofari hata ikiungua kuta zinabaki, inahitaji ukarabati mdogo wa kuondoa moshi.
Sio kupenda geography ya eneo usika ile seem kuna kipindi cha Barafu mapukutiko hatari sana watu wanakufa asa walevi wakianguka njian wamekwisha kipindi icho ndio mbao inasamani kuliko chengine chochote!!! Mbao inazuiya nyumba isiwe FRIJI!! unaweza kuganda ndani uko uko!!
 
Jinamizi la MOTO linazidi kukua inchin marekani sasa unachoma misitu mikubwa,
 
Na hivi ndivyo watakavofanywa wanaopindukia mipaka kwenye kufuru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…