wamekwambia wana hasiraUrusi imeishutumu Nato na Marekani kwa "kuchochea kiwango kipya cha mvutano" baada ya Marekani na Ujerumani kuwa washirika wa hivi punde kuruhusu jeshi la Ukraine kutumia silaha zinazotolewa na nchi za Magharibi kushambulia maeneo ndani ya Urusi.
Msemaji wa Berlin alisema Ujerumani ina imani kuwa Ukraine ina haki ya kujilinda dhidi ya Urusi, haswa kutokana na mashambulizi ya mpakani kwenye mji wake wa pili kwa ukubwa wa Kharkiv.
Moscow warns of escalation after Ukraine told it can hit Russia
Russia accuses Nato and the US of "provoking a new level of tension" over the use of Western-supplied weapons.www.bbc.com
Watu washachanganyikiwi tena na hawaogopi tena kufa. Kwa iyo jinsi unavyozidi kuwa kauzu wenzako wanazidi kuwa vichaaa zaidiKitakachofuata hapo Kiev mimi yangu macho
Ni vyema na haki kwa Ukraine kupewa ruhusa hiyo.Urusi imeishutumu Nato na Marekani kwa "kuchochea kiwango kipya cha mvutano" baada ya Marekani na Ujerumani kuwa washirika wa hivi punde kuruhusu jeshi la Ukraine kutumia silaha zinazotolewa na nchi za Magharibi kushambulia maeneo ndani ya Urusi.
Msemaji wa Berlin alisema Ujerumani ina imani kuwa Ukraine ina haki ya kujilinda dhidi ya Urusi, haswa kutokana na mashambulizi ya mpakani kwenye mji wake wa pili kwa ukubwa wa Kharkiv.
Moscow warns of escalation after Ukraine told it can hit Russia
Russia accuses Nato and the US of "provoking a new level of tension" over the use of Western-supplied weapons.www.bbc.com
Pale nato ni ufaransa uingereza na kubwa la maadui USA, ndiyo wenye nyuklia hawa wengine vibaraka tu hawana nyukliaHakuna namna inaonekana Rusia anawatishie NATO kuwa atawapiga kwa nuklia, sasa anatumia Mkwara wa nyuklia kuidhoofisha NATO na wakati na wao wana nyuklia.
Kama wewe msukuma wa bariadi huko maswa umewaza na kuyaona haya, je sembuse serikali nzima ya Poland.Pale nato ni ufaransa uingereza na kubwa la maadui USA, ndiyo wenye nyuklia hawa wengine vibaraka tu hawana nyuklia
Halafu mimi huwa namsikitikia sana Poland siku kikinuka kabla hayajatua Berlin au pale Paris, Poland itakuwa ni majivu
Kama wewe msukuma wa bariadi huko maswa umewaza na kuyaona haya, je sembuse serikali nzima ya Poland.
NATO yote haijajidhatiti hapo Poland ili kupalinda wameshindwa kulinda makombora aina ya kinzhail je wataweza kulinda makombora aina ya bulava sstan
Wakati Ukraine watu wanatekwa na kuvishwa magwanda Kisha kulazimishwa kwenda mstari wa mbeleWatu washachanganyikiwi tena na hawaogopi tena kufa. Kwa iyo jinsi unavyozidi kuwa kauzu wenzako wanazidi kuwa vichaaa zaidi
nadhani unawa-overestimate sana nato mkuu,NATO walipanga bajeti ya kuisaidia Ukraine kwa takribani miaka mitano, mwanzoni wakasema wanaisaidia Ukraine ili wajilinde tu na sio kushambulia.
Kwa sasa wanatoa silaha za mashambulizi ili Ukraine ashambulie ndani ya ardhi ya Russia. Hii inatupa picha kwamba kuna namna wameshamuweza Russia ndo maana wanamchokonoa wanavyotaka ili Russia aingie kwenye 18 mazima.
Nlichogundua ni kwamba, nchi za Magharibi wanafanya mambo yao kwa akili nyingi sana, jamaa wanaitazama 2070 wakiwa leo 2024. Kila move wanayopiga hawa jamaa hawaipigi kwa bahati mbaya.
hana jeshi, lilishapukutishwa lote!Wakati Ukraine watu wanatekwa na kuvishwa magwanda Kisha kulazimishwa kwenda mstari wa mbele
Kupata vichekesho kama hivi Tuma meseji VICHEKESHO kwenda 1556NATO walipanga bajeti ya kuisaidia Ukraine kwa takribani miaka mitano, mwanzoni wakasema wanaisaidia Ukraine ili wajilinde tu na sio kushambulia.