Hasira za Gen Z ya Kenya; Chanzo Chake ni Umaskini Uliotopea

Kenya mpaka uwe na hali ya ahueni aisee lazima umepigika mno, Kenya kukuta vijana ni matajiri au viongozi wa ngazi za juu serikalini au kwenye organizations ni ngumu sana, Tanzania ukienda maeneo ya Iringa kule matajiri wengi sana ni vijana wadogo from early 20s wamepata pesa kwenye miti, avocado's etc

Ukienda kanda ya ziwa vijana wengi sana ni matajiri wamepata pesa kwenye madini, uvuvi, wtc

Ukienda kaskazini utakutana na vijana wengi wanamiliki expedition companies na tour operators wametajirika ni vijana wadogo yaani kila eneo Tanzania kuna fursa ya mtu yeyote kufamikiwa tofauti na monopolised Kenya, waliofanikiwa ndio wataendelea kufanikiwa na maskini wanazidi kua fukara.
Mkuu ndugu zako hao wakinga😅💪🏿
 
Takwimu gani umeweka. Umasikini uliopo Tanzania hasa maeneo ya Vijijini ni wakutisha.

Sasa kama nairobi mjini watu wanaishi kwenye mabanda hayana maji wala umeme huko vijijini kwao ndio Kutakuwa vipi?

Linganishi vijijini vya wa pokot huko Kenya na Kijiji chochote hapa Tanzania... Wakituzidi uje hapa useme...

Au kuna mahali Dar kuna slums umeme haufiki na Dawasco hawafiki?
 
Usichukue slum kama kigezo tuu cha kutathmini umaskini, je Watanzania wengapi hapa Dar hawana hata pa kulala wanalala barabarani na kwenye vituo vya mabus.

West Pokot ni kwa kukame lakini maisha ya watu yana nafuu kuliko baadhi ya vijini hapa Tanzania.
 
Sasa kama nairobi mjini watu wanaishi kwenye mabanda hayana maji wala umeme huko vijijini kwao ndio Kutakuwa vipi?

Linganishi vijijini vya wa pokot huko Kenya na Kijiji chochote hapa Tanzania... Wakituzidi uje hapa useme...

Au kuna mahali Dar kuna slums umeme haufiki na Dawasco hawafiki?
Mkuu AMARII watu hawajatembea. Wanaona tu zile picha za magorofa ya Nairobi wanafikiri Nairobi nzima iko vile. Kumbe ile ni Nairobi CBD.

Sasa ingia kilometres 6 tu mitaa ya Mathare, Kibera na vitongoji vingine utachoka.

Dar Es Slaam hakuna slums kwa vile mitaa yote inapitika ukiacha sehemu chache sana zenye mbanano
 
Mbona mtoa hoja kaweka pale post #1, wacha kuchangia hoja bila kujuwa flow yake
Takwimu haitolewi hivyo kwa maneno ya kuokoteza tuu. Mheshimiwa Mpango alipokuwa Waziri wa Fedha alikiri wazi kuwa pamoja na Tanzania kuingia uchumi wa kati bado vijijini kuna umasikini wa kutisha sana.
 
Safari ndefu huanza na hatua moja. Kama huwezi kuamza safari leo hiwezi fika popote. Rome was not built in a day
Wewe bibi na babu zako kule Nanjilinji jembe la mkono limewafikisha wapi wakati wana kula mlo mmoja na kukaa kwenye nyumbaya nyasi
 
Usichukue slum kama kigezo tuu cha kutathmini umaskini, je Watanzania wengine hapa Dar hawana hata pa kulala wanalala barabarani na kwenye vituo vya mabus.

West Pokot ni kwa kukame lakini maisha ya watu yana nafuu kuliko baadhi ya vijini hapa Tanzania.

Kwani wale wakora wanao tembea na mifuko ya mavi nairobi kuwa harass watu kwenye foleni za magari wana mahali pa kulala? Si chokoraa tu na wakora? Sema sasa ni sehemu gani Dar kuna mahali kuna maisha mabovu ya kulala slums kama za mukuru kwa njenga..

Halafu weka Kijiji cha Tanzania chenye hali ngumu kuliko vijiji vya huko pokot na lodwar... Kama ni comparisons ifanyike kwa haki.. Eneo kwa eneo.. Sio maneno
Mkuu AMARII watu hawajatembea. Wanaona tu zile picha za magorofa ya Nairobi wanafikiri Nairobi nzima iko vile. Kumbe ile ni Nairobi CBD.

Sasa ingia kilometres 6 tu mitaa ya Mathare, Kibera na vitongoji vingine utachoka.

Dar Es Slaam hakuna slums kwa vile mitaa yote inapitika ukiacha sehemu chache sana zenye mbanano

Hawa bado wako na hangover za propaganda za kizamani... Alizoacha muingereza hapo kenya.. Kwamba wako juu zaidi ya Tanzania... Ila on ground uhalisia ni tofauti... Ngoja huu mgomo utawafungua wengi macho na akili...

Wanaushabikia sana.. Sasa waendelee kufatilia hadi mwisho wake.. Watapata kitu.
 
Slums ipo kwenye majiji yote makubwa yenye population density kubwa kama Nigeria ipo Makoko Slum pia Johannesburg slums ipo pia. Lakini maisha ya watu wanaoishi kule yana nafuu kuliko wanaoishi Manzese, Mbagala na kwingineko. Mathare kule wapo wasomi wengi tuu.
 
Kwani wale wakora wanao tembea na mifuko ya mavi nairobi kuwa harass watu kwenye foleni za magari wana mahali pa kulala? Si chokoraa tu na wakora? Sema sasa ni sehemu gani Dar kuna mahali kuna maisha mabovu ya kulala slums kama za mukuru kwa njenga..

Halafu weka Kijiji cha Tanzania chenye hali ngumu kuliko vijiji vya huko pokot na lodwar... Kama ni comparisons ifanyike kwa haki.. Eneo kwa eneo.. Sio m naneno

Hawa bado wako na hangover za propaganda za kizamani... Alizoacha muingereza hapo kenya.. Kwamba wako juu zaidi ya Tanzania... Ila on ground uhalisia ni tofauti... Ngoja huu mgomo utawafungua wengi macho na akili...

Wanaushabikia sana.. Sasa waendelee kufatilia hadi mwisho wake.. Watapata kitu.
Wewe kweli unachekesha kwa hiyo unataka kujilinganisha na Kenya kwa lipi yani pamoja na rasilimali zetu nyingi, ardhi yenye rutuba na mvua za kutosha mbona tusiwazidi kiuchumi, elimu bora, afya n.k
 
Weka data... Ubora wa afya mfano unapimwa na life expectancy... Sasa pima kati ya Tanzania na kenya wapi wapo juu!?

Halafu upitie economic journals ni kwanini Nigeria imekataa kuwapa ithibati watu waliopata degree kutoa vyuo vya kenya!?
 
Kama ni umasikini Tanzania ndo ingekua ya kwanza kuandamana, wewe angalia wadamanaji vijana wameva vizuri hata kupita waalimu wa Tanzania,

Tanzania tunaelekea huko. Idadi ya watu inaongezeka na fursa zinapungua. Wizi na ufijaji wa mali ya umma unakithiri.
Mambo mabaya yanayochelewesha maendeleo lazima yafanyiwe kazi kwa haraka.

Chelsea Chelsea utakuta mwana sio wako. Na anayedhani amesimama.....
 
Back
Top Bottom