Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 7,021
- 11,475
- Thread starter
- #61
Tatizo umelinganisha Nairobi slums na rural Tanzania. Mimi nili zeroin kwenye Nairobi, so ingekuwa fair kama ungefanya comparison na Dar es Salaam.Takwimu gani umeweka. Umasikini uliopo Tanzania hasa maeneo ya Vijijini ni wakutisha.
Je unaweza kulinganisha Kibera na Buguruni au Mburahati? Au kufananisha Mathare na Vingunguti na Manzese