Tatizo umelinganisha Nairobi slums na rural Tanzania. Mimi nili zeroin kwenye Nairobi, so ingekuwa fair kama ungefanya comparison na Dar es Salaam.Takwimu gani umeweka. Umasikini uliopo Tanzania hasa maeneo ya Vijijini ni wakutisha.
Bro yule pale Bakhressa alianza na kushona viatu, akaja akafungua hotel Nawaz pale Gerezani na Azam pale Kariakoo. Kisha akaenda kwenye mabakery, ice cream, kusindika unga, Television Station nk.Sasa uwezeshwaji upo kwenye kilimo? Kwa hiyo watu watumie jembe la mkono ndio awe tajiri?
Nchi zenye system bora ya Afya Kenya ipo vizuri Afrika, Elimu pia inatuzidi roads network inatuzidi. Hilo waulize Nigeria wenyewe mbona hapo Tanzania ukisoma Kenya unatambulika vizuri. Mfano Neurosurgery inatolewa Nairobi University tuu kwenye huu ukanda wetu wa Afrika Mashariki.Weka data... Ubora wa afya mfano unapimwa na life expectancy... Sasa pima kati ya Tanzania na kenya wapi wapo juu!?
Halafu upitie economic journals ni kwanini Nigeria imekataa kuwapa ithibati watu waliopata degree kutoa vyuo vya kenya!?
Ulikuwepo na ulimuona mafanikio ya mtu ni siri hawezi kueleza acha kuokoteza maneno ya barabarani.Bro yule pale Bakhressa alianza na kushona viatu, akaja akafungua hotel Nawaz pale Gerezani na Azam pale Kariakoo. Kisha akaenda kwenye mabakery, ice cream, kusindika unga, Television Station nk.
Waafrika tunafeli kwenye NIDHAMU ya fedha
Mtu akiugua kwenye familia zao hawatembezi bakuli? Wanapiga kazi ila akiba ya kula miezi 6 bila kufanya kazi wanayo?Wakinga, Wahehe, Wabena, Wanyaki? Wasafwa wote wanapiga kazi
Hao homeless wapo hata USA. Huwezi kuiponda New York kwa sababu ya street hooligans and homeless.Usichukue slum kama kigezo tuu cha kutathmini umaskini, je Watanzania wengapi hapa Dar hawana hata pa kulala wanalala barabarani na kwenye vituo vya mabus.
West Pokot ni kwa kukame lakini maisha ya watu yana nafuu kuliko baadhi ya vijini hapa Tanzania.
Sasa unaleta mambo ya Mpango anayetengeneza ripoti ya ku address bunge unataka na humu watu watengeneze presentation?Takwimu haitolewi hivyo kwa maneno ya kuokoteza tuu. Mheshimiwa Mpango alipokuwa Waziri wa Fedha alikiri wazi kuwa pamoja na Tanzania kuingia uchumi wa kati bado vijijini kuna umasikini wa kutisha sana.
Jiulize kwa nini wana kimbia ? Na wengine si ndio wapo huko Kenya wanaomba barabarani alafu mnasema eti sisi ni matajiriHao homeless wapo hata USA. Huwezi kuiponda New York kwa sababu ya street hooligans and homeless.
Kuna vituo vya kulelea wakoma na wazee kule Berega na Sukamahela lakini wazee wanakimbia vituoni
Nchi zenye system bora ya Afya Kenya ipo vizuri Afrika, Elimu pia inatuzidi roads network inatuzidi. Hilo waulize Nigeria wenyewe mbona hapo Tanzania ukisoma Kenya unatambulika vizuri. Mfano Neurosurgery inatolewa Nairobi University tuu kwenye huu ukanda wetu wa Afrika Mashariki.
Tatizo wewe husomi na kama haya ni maneno matupu ya kanushe na ushahidi wa takwimuHayo ni maneno matupu.. Nimekwambia kati ya kenya na Tanzania wapi kuna life expectancy kubwa?
Unachanganya na road network huko huko...sasa...piga hesabu Kenya nzima ina square metres ngapi na Tanzania ina square metres ngapi... Piga hesabu muunganisho wa lami mkoa hadi mkoa.. Wilaya hadi wilaya... Halafu utoe majibu ni wapi watakuwa na road network kubwa kuliko mwenzake.
Naomba utuombe radhi Watanzania. Manzese na Mbagala ni classic. Mkuu huelewi unachoandika. Hapa nitakupa top 10 biggest slums in Africa.Slums ipo kwenye majiji yote makubwa yenye population density kubwa kama Nigeria ipo Makoko Slum pia Johannesburg slums ipo pia. Lakini maisha ya watu wanaoishi kule yana nafuu kuliko wanaoishi Manzese, Mbagala na kwingineko. Mathare kule wapo wasomi wengi tuu.
Tatizo wewe husomi na kama haya ni maneno matupu ya kanushe na ushahidi wa takwimu
Naomba utuombe radhi Watanzania. Manzese na Mbagala ni classic. Mkuu huelewi unachoandika. Hapa nitakupa top 10 biggest slums in Africa.Slums ipo kwenye majiji yote makubwa yenye population density kubwa kama Nigeria ipo Makoko Slum pia Johannesburg slums ipo pia. Lakini maisha ya watu wanaoishi kule yana nafuu kuliko wanaoishi Manzese, Mbagala na kwingineko. Mathare kule wapo wasomi wengi tuu.
Kama wewe umekuja juzi kutoka Kantalamba au Mpitimbi, mimi niko Dar wa Salaam toka 1979. Ukinibishia data kuhusu utajiri wa Bakhresa basi wewe ubishi ni kipaji chako.Ulikuwepo na ulimuona mafanikio ya mtu ni siri hawezi kueleza acha kuokoteza maneno ya barabarani.
Sasa wewe walimu wameingiaje hapo? Walimu ni wazalendo wenye uchungu na nchi yao. Wanapenda namna hii ya maisha maana ndio yanawapa furaha.Kama ni umasikini Tanzania ndo ingekua ya kwanza kuandamana, wewe angalia wadamanaji vijana wameva vizuri hata kupita waalimu wa Tanzania,
Wacha kujifanya una wajua watu, mafanikio ya mtu ni siri yake hayo unayo yaona yanweza kuwa ni asilimia 50 tuuKama wewe umekuja juzi kutoka Kantalamba au Mpitimbi, mimi niko Dar wa Salaam toka 1979. Ukinibishia data kuhusu utajiri wa Bakhresa basi wewe ubishi ni kipaji chako.
Umeiweka vizuriSasa wewe walimu wameingiaje hapo? Walimu ni wazalendo wenye uchungu na nchi yao. Wanapenda namna hii ya maisha maana ndio yanawapa furaha.
Mwenye uzi anasema wakenya wengi wanaishi chini ya dola moja kwa siku..... Je ni watanzania wote tunaishi juu ya dola moja kw siku?
Umewahi fuatilia maisha ya Che Guavara? Alikuwa masikini? Wenzetu bei ya mkate ukipanda nao wa napanda nayo mtaani kwa ma bango. Sisi bado tunaweza kuvumilia hali tuliyomo.
Wameweza kunisomesha na nimepata elimu ya shahada ya uzamiliWewe bibi na babu zako kule Nanjilinji jembe la mkono limewafikisha wapi wakati wana kula mlo mmoja na kukaa kwenye nyumbaya nyasi