Hasira za vijana na namna wanavyoishi

Hasira za vijana na namna wanavyoishi

Jack Daniel

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2021
Posts
2,912
Reaction score
12,904
Salaam jamiiforum

Nyuzi zangu nyingi zimejikita Kwa vijana wadogo ambao wengi hawajaoa,na ndiyo wapo hatarini zaidi kwani ni rahisi kukuta kijana mwenye miaka 30 ameteswa zaidi na mapenzi kuliko mwenye miaka 50 kwenye historia zao.

Mkikutana barabarani,wamependeza Sana, wengine wamenyoa vizuri kabisa,nguo zimenyooshwa vyema na pia wengi mahandsome ila wanayopitia ni mazito mwanakwetu na hali kadhalika wanajiamini sana

Hii inatokana na kwamba wamezaliwa na kukua kwenye Zama za utandawazi na ukisasa mwingi.na kujikuta wanaziishi falsafa za mwanaume wa zamani ,wakati mabinti washaota mbawa,mabinti wengi wana uwezo wa kujitegemea, Kwasababu Wana taaluma na ujuzi wa kutosha,kifupi hii jinsia ni ngumu kuibabaisha tena.

Hata wasio na taaluma au kazi bado wana njia haramu za kujipatia riziki hivyo kwao life is simble.

Lakini Alerts za kumuonya mtoto wa kiume zimekuwa nyingi,zikitaka awe mwenye msimamo thabiti yaani asiyumbishwe na lolote na mwanamke.

Lakini ukweli ni kwamba Kwa utafiti wangu tunakuza mambo kuliko uhalisia ,vijana wanateseka ,

1.Wameambiwa mwanaume hapaswi kulia lakini wakijifungia vyumbani wanalia mno.

2.Wanaambiwa mwanamke akizingua piga chini,ni kweli wanafanya hivyo lakini Wana maumivu yasiyoelezeka.

3.Wanaambiwa Punyeto haifai lakini ndiyo mchezo wao.

4.Kila kinachokatazwa wao wanajaribu,vijana wengi wamewajaribu wapenzi wao kuwaomba mapenzi kinyume na maumbile( hii ni namna wanavyopotoshwa)na baadhi wametoa penzi Kwa mabasha wa mjini Kwa kuahidiwa vijizawadi vya muda mfupi (just imagine)

5.Hata wale waliookoka wakidai wamemrudia Mungu,Wana mengi wanafanya Kwa Siri.

6.Suala la kujiamini kupitiliza limekuwa kubwa vijana wengi hawana cha kupoteza,wamekata tamaa mno (wameachika,wameachwa,wameingiliwa kinyume na maumbile, hivyo Wana msongo mkubwa wa Mawazo hasira zao wanamalizia,mtaani.

7.Madeni,hili inasumbua na kuharibu Sana vijana,hawajui muda na wakati wa kulipa,atalipa nini badala yake ni kukwepa na kubadilisha namba ya simu.huku akipoteza direction ya maisha

8.Kuhonga vitu vikubwa kisha kuachwa na mwanamke na mwanamke akiulizwa anasema tushamalizana ni kwasababu ulinitumia.yaani mtu atoe Gari la milioni ishirini halafu apewe uchi mara tatu kisha aambiwe ,Mimi na wewe basi.hapa vijana wanawaza meeeeengi mno.

9.Unywaji wa pombe kupita kiasi ikiwa ni moja ya kujaribu kufuta kumbukumbu mbaya (hebu fikiria mtu aliingiliwa kinyume na maumbile ili apate gari,simu n.k) je hiyo bidhaa kila ukiitazama nini kinakujia kichwani.

Pombe ni starehe Kwa asiye na Tatizo lolote,ikiwa pombe atatumia mtu mwenye mental health, Depression lazima tupate vichaa wengi mtaani

10.Kutembea na wanawake waliowazidi umri (hapa wala hakuna mapenzi Kwa kijana) ila ni sehemu ya kutafuta huruma na kulipiza kisasi tu Kwa mengi wanayofanyiwa pamoja na kuahidiwa maisha.

Zipo sababu nyingi na kifupi enyi watu wenye umri mkubwa punguzeni kubattle na vijana,wamevurugwa na wapo tayari kujiua au kuua.mtu akifikia hapa anakuwa ni hatari kwani hajali chochote.

jumatano njema
 
Mapenzi nyoko
FB_IMG_17399005518722162.jpg
 
6
 
Humu JF vijana tunachukiwa na kusemwa vibaya bure. Ukianza na chuki iliyopo dhidi ya single mothers, inafuatia chuki dhidi ya vijana.

JF inaamini single mothers wote wabaya, walikosea wakaachwa, hata kama mwanaume alikosea basi lazima alisababishwa na mwanamke.

Kwa vijana sasa wote walevi, wazinzi, hawana future, wanateseka. Mbona mtaani wenye changamoto ni kila rika.
 
Vijanaa mkuje hapa, kuna ujumbe wenu huku.

Ila umesema ukweli mtupu, hali ni mbaya mtaani. Lol
 
Nyie wazee kaani pembeni ulingo wenu umeshapitwa na wakati.

Hii miaka kuchukua ushauri wa mtu wa zamani ni kujitakia kufeli.Life limechange vibaya sana wazee wenyewe hawaelielewi.

Vijana kama hujajipata kaa mbali na mapenzi.Tafuta namna UCONTROL hisia zako hata kwa kutengeneza mentality ya kuwachukia wanawake wewe fanya ili mradi lengo la kuwakwepa LITIMIE.

Hata kama unaajira tafuta pesa!!!Tafuta pesa kijana!!!Hasa kijana wa kiume tafuta pesa!!!yaani tafuta pesaaaa!!!!!pesa ndio mkombozi wako wa afya ya akili.Siku zaja watu wataanza kugombania vitanda pale MIREMBE.

Kijana kama unataka uchanganyikiwe oa huku huna hata nyumba ya vyumba viwili.Ingekuwa ni amri yangu ningepiga marufuku kijana asiye na nyumbacaliyojenga yeye mwenyewe(siyo ya kupanga)aoe.

MARUFUKU KUOA TENA KAMA UMEAJIRIWA HIZO AJIRA ZA SANDAKALAWE(UALIMU,Afya(UNESI,UDAKTARI),POLISI/JESHI ASIYE NA ELIMU)nk.Angalau pitisha miaka mitatu mpaka minne kwanza ya ajira ukiusoma mchezo maana bila hivyo maisha yako yatakuwa maigizo!!!

📌📌📌Kijana Kama utabahatika kupata mikopo ya serikali chukua ila hiyo mikopo ya mabenki na hivyo vi microcredit KIMBIA UTHITHUBUTU.UTAISHIA KUTOP UP AND DOWN MAISHA YAKO YOTE!!!
 
Back
Top Bottom