Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 2,912
- 12,904
Salaam jamiiforum
Nyuzi zangu nyingi zimejikita Kwa vijana wadogo ambao wengi hawajaoa,na ndiyo wapo hatarini zaidi kwani ni rahisi kukuta kijana mwenye miaka 30 ameteswa zaidi na mapenzi kuliko mwenye miaka 50 kwenye historia zao.
Mkikutana barabarani,wamependeza Sana, wengine wamenyoa vizuri kabisa,nguo zimenyooshwa vyema na pia wengi mahandsome ila wanayopitia ni mazito mwanakwetu na hali kadhalika wanajiamini sana
Hii inatokana na kwamba wamezaliwa na kukua kwenye Zama za utandawazi na ukisasa mwingi.na kujikuta wanaziishi falsafa za mwanaume wa zamani ,wakati mabinti washaota mbawa,mabinti wengi wana uwezo wa kujitegemea, Kwasababu Wana taaluma na ujuzi wa kutosha,kifupi hii jinsia ni ngumu kuibabaisha tena.
Hata wasio na taaluma au kazi bado wana njia haramu za kujipatia riziki hivyo kwao life is simble.
Lakini Alerts za kumuonya mtoto wa kiume zimekuwa nyingi,zikitaka awe mwenye msimamo thabiti yaani asiyumbishwe na lolote na mwanamke.
Lakini ukweli ni kwamba Kwa utafiti wangu tunakuza mambo kuliko uhalisia ,vijana wanateseka ,
1.Wameambiwa mwanaume hapaswi kulia lakini wakijifungia vyumbani wanalia mno.
2.Wanaambiwa mwanamke akizingua piga chini,ni kweli wanafanya hivyo lakini Wana maumivu yasiyoelezeka.
3.Wanaambiwa Punyeto haifai lakini ndiyo mchezo wao.
4.Kila kinachokatazwa wao wanajaribu,vijana wengi wamewajaribu wapenzi wao kuwaomba mapenzi kinyume na maumbile( hii ni namna wanavyopotoshwa)na baadhi wametoa penzi Kwa mabasha wa mjini Kwa kuahidiwa vijizawadi vya muda mfupi (just imagine)
5.Hata wale waliookoka wakidai wamemrudia Mungu,Wana mengi wanafanya Kwa Siri.
6.Suala la kujiamini kupitiliza limekuwa kubwa vijana wengi hawana cha kupoteza,wamekata tamaa mno (wameachika,wameachwa,wameingiliwa kinyume na maumbile, hivyo Wana msongo mkubwa wa Mawazo hasira zao wanamalizia,mtaani.
7.Madeni,hili inasumbua na kuharibu Sana vijana,hawajui muda na wakati wa kulipa,atalipa nini badala yake ni kukwepa na kubadilisha namba ya simu.huku akipoteza direction ya maisha
8.Kuhonga vitu vikubwa kisha kuachwa na mwanamke na mwanamke akiulizwa anasema tushamalizana ni kwasababu ulinitumia.yaani mtu atoe Gari la milioni ishirini halafu apewe uchi mara tatu kisha aambiwe ,Mimi na wewe basi.hapa vijana wanawaza meeeeengi mno.
9.Unywaji wa pombe kupita kiasi ikiwa ni moja ya kujaribu kufuta kumbukumbu mbaya (hebu fikiria mtu aliingiliwa kinyume na maumbile ili apate gari,simu n.k) je hiyo bidhaa kila ukiitazama nini kinakujia kichwani.
Pombe ni starehe Kwa asiye na Tatizo lolote,ikiwa pombe atatumia mtu mwenye mental health, Depression lazima tupate vichaa wengi mtaani
10.Kutembea na wanawake waliowazidi umri (hapa wala hakuna mapenzi Kwa kijana) ila ni sehemu ya kutafuta huruma na kulipiza kisasi tu Kwa mengi wanayofanyiwa pamoja na kuahidiwa maisha.
Zipo sababu nyingi na kifupi enyi watu wenye umri mkubwa punguzeni kubattle na vijana,wamevurugwa na wapo tayari kujiua au kuua.mtu akifikia hapa anakuwa ni hatari kwani hajali chochote.
jumatano njema