Hassan Bumbuli na Haji Manara 'mnagombania' nini hadi 'mnatukanana' Matusi ya Nguoni katika 'WhatsApps' zenu?

Haya mnayofanya ni mazuri? Kuwainamishia/kuwabong'olea misambwanda wachezaji wa timu pinzani,hii ni rushwa na ndio maana mlishinda.
Anza na hili kwanza wewe Kolo FC
 
HAYAKUHUSU.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Bumbuli anamwambia msukule anapelekwa arabuni kushikwashikwa matako na mabwana zake.

Hii kauli ya Bumbuli imenifikirisha sana.
Mbona na lile Tusi Kubwa Bumbuli alilompa Manara kule katika ile Voice Note umelisahau?

Sijasema ulitaje hapa JamiiForums tafadhali ukilitaja tu na ukala Umeme ( Kadi Nyekundu ) na Marefa ( Moderators ) shauri yako na Mimi simo!!
 
Binadam bwana mbona wewe kila siku unaiponda Simba hapa jf Kwan we inakuhusu Nini?Tena wewe jamaa kila muda Ni kuisema vibaya Simba Ila mkiguswa kidogo povu hilo
Tena mwambie awaambie Yanga SC Wakanushe juu ya hili nililolileta hapa GENTAMYCINE ili nije na Bomu lingine ambalo nimeliweka Kiporo na hili najua nikilipiga tu Hewani hapa Mgogoro mkubwa sana unaibuka Yanga SC na Watavurugana maradufu.

Wana Yanga SC muwe tu Wapole sawa?
 
HII story mtoa Mada ameipata akiwa nyumbani kwako kijiweni pale bunda mjini mkoani mara.
 
Gentamycine wewe ni kiboko endelea kutupa habari za chumbani za Utopolo si wamoja Tena wamepoteana siku wakipoteza mechi tu moto utawaka
Chukua haya maneno yangu Mkuu Jumapili Ushindi kwa Yanga SC dhidi ya Coastal Union FC kule Tanga Mkwakwani ni ama Sare au Kufungwa ila hashindi ( labda GSM wawahonge Waamuzi na Wachezaji baadhi wa Coastal Union FC walegeze na wasiwakazie ) na hapo sasa wakishapoteana huko Tanga ndiyo nami nakuja Kupigilia Msumari pale pale katika Kidonda kwa hii 'Skendo' yao niliyoiweka Kiporo na najua watashangaa nimeijuaje wakati Mimi ni mwana Simba SC wakisahau kuwa popote pale ulipo basi GENTAMYCINE nae yupo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…