Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unauliza Ushoga ( Usodoma ) Jangwani?Alaaaa! Kumbe Mkuu lengo lako ni kuiona timu yao IKIHARIBIKIWA tu?
HAYAKUHUSU.GSM binafsi tena hapa hapa JamiiForums nakumbuka nilianzisha Uzi Kuwaonya kuhusu Kumleta Yanga SC Haji Manara nikawaambia kuwa mmeandaa Bomu ambalo litakuja Kulipuka na Kuwagharimu Yanga SC na sasa yametimia.
Kamarada ( Comrade ) wangu ( Kitasnia ) Msomi Mwerevu Hassan Bumbuli nawe nilikuonya hapa hapa JamiiForums kuwa kutokana na ule ujio wa Haji Manara hapo Yanga SC kwa Uweledi wako na Hadhi yako ungeachana tu na Yanga SC na urejee zako MWANANCHI ( MCL ) hasa katika Gazeti lako la Mwanaspoti lakini ukanipuuza na sasa yametimia kwani nilichokitabiri Kwenu kimetimia.
Hopeless ( Mpuuzi ) Haji Manara wala sitopoteza muda mwingi nawe kwani nawe nilikuonya na Kukuambia kuwa Kitendo chako cha Kuwashambulia ( tena personally kabisa ) akina Mohammed Dewji ( Mwekezaji Simba SC ) na Barbara Gonzalez ( CEO Simba SC ) halafu Wao wanakunyamazia ni Ishara tosha ya Laana Kubwa na Mbaya itakayokutafuna na sasa nilichokitabiri Kimetimia.
Kamarada ( Comrade ) Hassan Bumbuli hivi unajisikiaje Nwenzako Haji Manara Kununuliwa Gari jipya aina ya PRADO, kuhamishwa kutoka Mikocheni alikokuwa akiishi mwanzo na sasa akipangiwa Nyumba Slip Way Masaki na akikuzidi Mshahara mara 15 wakati Kazi Kubwa na Nyingi za Yanga SC ( hasa zile za Kiutendaji ) zinafanywa na Wewe tu?
Huenda pia ( Kamarada Hassan Bumbuli ) ile laana ya Kumtukana vibaya Mtendaji Mwenzako ( aliyekuwa Mhamasishaji ) wa Yanga SC Antonio Nugaz ikawa inaanza Kukutafuna na Kukuumiza kwani kiukweli hukupaswa Kumtusi vile na nakumbuka pamoja na Kumtukana kote kule ( Nugaz ) bado alikuomba Radhi yaishe ukakataa na mwishowe akasema anamuachia Mwenyezi Mungu na sasa Mola / Maulana nae ameanza Kumjibia.
Hata hivyo Kamarada ( Comrade ) Hassan Bumbuli nikushukuru tu kwa zile Video Mbili ulizomtumia ( mpostia ) Hajj Manara akiwa Dubai ( Uarabuni ) Kwao na Gharib Said Mohammed ( GSM ) huku Kaka yake 'akiupiga mwingi' kwa Manara wakiwa Wamesimama katika Hafla ya Kifamilia na ile ya Juzi kule Kisiwani Zanzibar aliyokuwa akimlazimisha Kumvuta karibu Injinia Hersi Said na Injinia akawa anakataa hali iliyopelekea jana katika Mchezo wenu dhidi ya Azam FC Injinia Hersi amkimbie na amkwepe Manara kwa Kukaa nae karibu.
Niliwahi kuwaambieni wana Yanga SC ( wa hapa Jamvini JamiiForums ) kuwa kama kuna Kazi rahisi na nyepesi Kwangu basi huwa ni kupata Habari Ngumu na zilizojificha kabisa za Kuihusu Yanga SC kama Timu, Wachezaji wake na mpaka Watendaji wake kwani huko nina Watu wengi wengi 'very Loyal' Kwangu na huwa hawanifichi Jambo lenu kama hili la Leo na yaliyopita.
Najua Kesho au Keshokutwa au huko mbeleni mtajitahidi Kukanusha hili ila nami GENTAMYCINE nawaambia kuwa nina 'Skendo' yenu nyingine ila kwa sasa naiweka ( nawaweka ) Kiporo nasubiri ama Mfungwe au Mtoke Sare na Coastal Union FC Jumapili hii ( ijayo ) kule Mkoani Tanga ili mkianza Kuvurugana ( Kugombana ) tu basi nami nikoleze Moto wangu kwa Kuiweka hadharani kwani 'Unyama Unyaman' kwa sasa.
Bumbuli katika hiyo Voice Note kamporomoshea 'Matusi' ya maana Haji Manara ( hasa lile la tabia aliyokuwa nayo ) Mwanamuziki wa Ulaya ( Uingereza ) Marehemu Sir. Elton John.Watu wazima na akili zao wakatupiana matusi kama hayo. 🤔🤔
Yanga walianza na Sisi Simba tunamaliza.Huu si mpira na tukienda hivi hatufiki.
Kama tumepanda Abood kutoka Dar es Salaam kwenda Morogoro kwa hiki ulichokiuliza hapa ni sawa na tumekaribia Ubena Zomoni na muda mchache tu tunaingia Msamvu Bus Terminal Morogoro.
Ndiyo Ukweli WenyeweMuda utaongea
Binadam bwana mbona wewe kila siku unaiponda Simba hapa jf Kwan we inakuhusu Nini?Tena wewe jamaa kila muda Ni kuisema vibaya Simba Ila mkiguswa kidogo povu hiloKolo atabaki kuwa Kolo tu.. Unazungumzia Yanga inakuhusu nini ww ndugu yangu fanya mambo zako
Mbona na lile Tusi Kubwa Bumbuli alilompa Manara kule katika ile Voice Note umelisahau?Bumbuli anamwambia msukule anapelekwa arabuni kushikwashikwa matako na mabwana zake.
Hii kauli ya Bumbuli imenifikirisha sana.
Waarabu Watu hatari sana Mkuu Wangu.Kama kweli hali ndio hii basi huko Yanga hapakaliki, tukae mbali na zawadi za waarabu
Tena mwambie awaambie Yanga SC Wakanushe juu ya hili nililolileta hapa GENTAMYCINE ili nije na Bomu lingine ambalo nimeliweka Kiporo na hili najua nikilipiga tu Hewani hapa Mgogoro mkubwa sana unaibuka Yanga SC na Watavurugana maradufu.Binadam bwana mbona wewe kila siku unaiponda Simba hapa jf Kwan we inakuhusu Nini?Tena wewe jamaa kila muda Ni kuisema vibaya Simba Ila mkiguswa kidogo povu hilo
Chukua haya maneno yangu Mkuu Jumapili Ushindi kwa Yanga SC dhidi ya Coastal Union FC kule Tanga Mkwakwani ni ama Sare au Kufungwa ila hashindi ( labda GSM wawahonge Waamuzi na Wachezaji baadhi wa Coastal Union FC walegeze na wasiwakazie ) na hapo sasa wakishapoteana huko Tanga ndiyo nami nakuja Kupigilia Msumari pale pale katika Kidonda kwa hii 'Skendo' yao niliyoiweka Kiporo na najua watashangaa nimeijuaje wakati Mimi ni mwana Simba SC wakisahau kuwa popote pale ulipo basi GENTAMYCINE nae yupo.Gentamycine wewe ni kiboko endelea kutupa habari za chumbani za Utopolo si wamoja Tena wamepoteana siku wakipoteza mechi tu moto utawaka