Hassan Bumbuli na Haji Manara 'mnagombania' nini hadi 'mnatukanana' Matusi ya Nguoni katika 'WhatsApps' zenu?

Hassan Bumbuli na Haji Manara 'mnagombania' nini hadi 'mnatukanana' Matusi ya Nguoni katika 'WhatsApps' zenu?

Haya mnayofanya ni mazuri? Kuwainamishia/kuwabong'olea misambwanda wachezaji wa timu pinzani,hii ni rushwa na ndio maana mlishinda.
Anza na hili kwanza wewe Kolo FC
Screenshot_20220111-132917_WhatsApp.jpg
 
GSM binafsi tena hapa hapa JamiiForums nakumbuka nilianzisha Uzi Kuwaonya kuhusu Kumleta Yanga SC Haji Manara nikawaambia kuwa mmeandaa Bomu ambalo litakuja Kulipuka na Kuwagharimu Yanga SC na sasa yametimia.

Kamarada ( Comrade ) wangu ( Kitasnia ) Msomi Mwerevu Hassan Bumbuli nawe nilikuonya hapa hapa JamiiForums kuwa kutokana na ule ujio wa Haji Manara hapo Yanga SC kwa Uweledi wako na Hadhi yako ungeachana tu na Yanga SC na urejee zako MWANANCHI ( MCL ) hasa katika Gazeti lako la Mwanaspoti lakini ukanipuuza na sasa yametimia kwani nilichokitabiri Kwenu kimetimia.

Hopeless ( Mpuuzi ) Haji Manara wala sitopoteza muda mwingi nawe kwani nawe nilikuonya na Kukuambia kuwa Kitendo chako cha Kuwashambulia ( tena personally kabisa ) akina Mohammed Dewji ( Mwekezaji Simba SC ) na Barbara Gonzalez ( CEO Simba SC ) halafu Wao wanakunyamazia ni Ishara tosha ya Laana Kubwa na Mbaya itakayokutafuna na sasa nilichokitabiri Kimetimia.

Kamarada ( Comrade ) Hassan Bumbuli hivi unajisikiaje Nwenzako Haji Manara Kununuliwa Gari jipya aina ya PRADO, kuhamishwa kutoka Mikocheni alikokuwa akiishi mwanzo na sasa akipangiwa Nyumba Slip Way Masaki na akikuzidi Mshahara mara 15 wakati Kazi Kubwa na Nyingi za Yanga SC ( hasa zile za Kiutendaji ) zinafanywa na Wewe tu?

Huenda pia ( Kamarada Hassan Bumbuli ) ile laana ya Kumtukana vibaya Mtendaji Mwenzako ( aliyekuwa Mhamasishaji ) wa Yanga SC Antonio Nugaz ikawa inaanza Kukutafuna na Kukuumiza kwani kiukweli hukupaswa Kumtusi vile na nakumbuka pamoja na Kumtukana kote kule ( Nugaz ) bado alikuomba Radhi yaishe ukakataa na mwishowe akasema anamuachia Mwenyezi Mungu na sasa Mola / Maulana nae ameanza Kumjibia.

Hata hivyo Kamarada ( Comrade ) Hassan Bumbuli nikushukuru tu kwa zile Video Mbili ulizomtumia ( mpostia ) Hajj Manara akiwa Dubai ( Uarabuni ) Kwao na Gharib Said Mohammed ( GSM ) huku Kaka yake 'akiupiga mwingi' kwa Manara wakiwa Wamesimama katika Hafla ya Kifamilia na ile ya Juzi kule Kisiwani Zanzibar aliyokuwa akimlazimisha Kumvuta karibu Injinia Hersi Said na Injinia akawa anakataa hali iliyopelekea jana katika Mchezo wenu dhidi ya Azam FC Injinia Hersi amkimbie na amkwepe Manara kwa Kukaa nae karibu.

Niliwahi kuwaambieni wana Yanga SC ( wa hapa Jamvini JamiiForums ) kuwa kama kuna Kazi rahisi na nyepesi Kwangu basi huwa ni kupata Habari Ngumu na zilizojificha kabisa za Kuihusu Yanga SC kama Timu, Wachezaji wake na mpaka Watendaji wake kwani huko nina Watu wengi wengi 'very Loyal' Kwangu na huwa hawanifichi Jambo lenu kama hili la Leo na yaliyopita.

Najua Kesho au Keshokutwa au huko mbeleni mtajitahidi Kukanusha hili ila nami GENTAMYCINE nawaambia kuwa nina 'Skendo' yenu nyingine ila kwa sasa naiweka ( nawaweka ) Kiporo nasubiri ama Mfungwe au Mtoke Sare na Coastal Union FC Jumapili hii ( ijayo ) kule Mkoani Tanga ili mkianza Kuvurugana ( Kugombana ) tu basi nami nikoleze Moto wangu kwa Kuiweka hadharani kwani 'Unyama Unyaman' kwa sasa.
HAYAKUHUSU.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Bumbuli anamwambia msukule anapelekwa arabuni kushikwashikwa matako na mabwana zake.

Hii kauli ya Bumbuli imenifikirisha sana.
Mbona na lile Tusi Kubwa Bumbuli alilompa Manara kule katika ile Voice Note umelisahau?

Sijasema ulitaje hapa JamiiForums tafadhali ukilitaja tu na ukala Umeme ( Kadi Nyekundu ) na Marefa ( Moderators ) shauri yako na Mimi simo!!
 
Binadam bwana mbona wewe kila siku unaiponda Simba hapa jf Kwan we inakuhusu Nini?Tena wewe jamaa kila muda Ni kuisema vibaya Simba Ila mkiguswa kidogo povu hilo
Tena mwambie awaambie Yanga SC Wakanushe juu ya hili nililolileta hapa GENTAMYCINE ili nije na Bomu lingine ambalo nimeliweka Kiporo na hili najua nikilipiga tu Hewani hapa Mgogoro mkubwa sana unaibuka Yanga SC na Watavurugana maradufu.

Wana Yanga SC muwe tu Wapole sawa?
 
HII story mtoa Mada ameipata akiwa nyumbani kwako kijiweni pale bunda mjini mkoani mara.
 
Gentamycine wewe ni kiboko endelea kutupa habari za chumbani za Utopolo si wamoja Tena wamepoteana siku wakipoteza mechi tu moto utawaka
Chukua haya maneno yangu Mkuu Jumapili Ushindi kwa Yanga SC dhidi ya Coastal Union FC kule Tanga Mkwakwani ni ama Sare au Kufungwa ila hashindi ( labda GSM wawahonge Waamuzi na Wachezaji baadhi wa Coastal Union FC walegeze na wasiwakazie ) na hapo sasa wakishapoteana huko Tanga ndiyo nami nakuja Kupigilia Msumari pale pale katika Kidonda kwa hii 'Skendo' yao niliyoiweka Kiporo na najua watashangaa nimeijuaje wakati Mimi ni mwana Simba SC wakisahau kuwa popote pale ulipo basi GENTAMYCINE nae yupo.
 
Back
Top Bottom