Hassan Bumbuli naye out Yanga,pole sana!

Hata Manara kazi yake imeisha atapigwa vita ya kisayansi aondoke sababu ni uncontrollable risk.
Na kwa tabia za Manara simuoni akifanya kazi chini ya Taji Liundi.Kamati ya maadili imewarahishia sana Yanga kumwondoa kwenye mfumo wao bila lawama.
 
Mimi nasubiri nimsikie Msola kama ana lolote la kusema.

Au labda tumtafute popote alipo tumwambie "kama una la kusema sema sasa au ukae kimya milele".

Hakika atachagua "kukaa kimya milele".Usidhani yalikuwa maamuzi rahisi kuamua kujitoa kwa mbio za uraisi.
 
Mbna umekuwa mpoleeeee ghaflaaaa shougaaa ang?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yajayo yanaliza zaidi, je uko tayari??

Byuti. Byuti.

Wayemen koko wanalichukua jangwa km lao vile.

Dj waleteeeee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…