Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Dah huyu Mwakinyo.
====
"Kuna mtu ninayemuheshimu aliongea maneno mabaya sana kwangu, nilisema Mwenyezi Mungu anipe ujasiri ili nisiseme maneno mabaya kwasababu yeye ni mtu anayesifika kwa maneno mabaya, lakini hawezi kuwa na maneno mabaya kuliko sisi watu wa uswahilini na wa pwani, kuna wakati inabidi unanyamaze ili heshima iendelee.
"Ni mtu ambae hajui chochote kwenye ngumi. Huwezi kuwa umekwenda honeymoon na mke wako ukamzungushe kwenye bembea na kumnunulia iPhone, hajafata hayo. Kama huna magongo usijitie shughuli kuoa watoto wadogo."