Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Masikini Manara ππ Ila wanaume mna tabu sana. Mkishatafuta hela bado mnatakiwa mtafute na vingine ili wanawake watulie. Poleni. Cha msingi usijibebeshe mzigo wa kutaka kumridhisha mwanamke. Ikiwezekana KATAENI NDOA. Mtanishukuru mbinguni.
Ningekutukana bonge la tusiMasikini Manara [emoji24][emoji24] Ila wanaume mna tabu sana. Mkishatafuta hela bado mnatakiwa mtafute na vingine ili wanawake watulie. Poleni. Cha msingi usijibebeshe mzigo wa kutaka kumridhisha mwanamke. Ikiwezekana KATAENI NDOA. Mtanishukuru mbinguni.
Usikute walishakubaliana wote namna ya kutoka kwa kiki, hii ni Tanzania [emoji4]Daaaah...... Huyu Mwakinyo.
View attachment 2568820
Mdomo ndio nguvu yao?Huyo ndo mdigo anakusema mda wowote wala hapindishi..Hao watu wnaajiamini sijawahi kuona ila hawana nguvu ni mdomo tu ππ
habari yako dadaMasikini Manara ππ Ila wanaume mna tabu sana. Mkishatafuta hela bado mnatakiwa mtafute na vingine ili wanawake watulie. Poleni. Cha msingi usijibebeshe mzigo wa kutaka kumridhisha mwanamke. Ikiwezekana KATAENI NDOA. Mtanishukuru mbinguni.