Hassan Mwakinyo amchana Haji Manara vibaya sana

Una akili sana umeolewa?
 
"Huwezi kuwa umekwenda honeymoon na mke wako ukamzungushe kwenye bembea na kumnunulia iPhone, hajafata hayo"[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huyu jamaa ndo mana wapenda Boxing walimkataaga kitambo sana, nilikua naonaga kama Ma-hater ila jamaa ana ropoka shombo sana sijui anajikutaga nani kumbe bado yupo mchangani
 
Huyu mdigo tangu viatu vimbane kupoteza pambana kijinga simtaki.....acha nasubiri mfaume vs pialali....Sept
 
Kwahyo nyie mnaomshangaa mwakinyo mnamuona Manara alikua sahihi kumtolea shombo mwenzie?
 
"Huwezi kuwa umekwenda honeymoon na mke wako ukamzungushe kwenye bembea na kumnunulia iPhone, hajafata hayo"[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kiufupi bwana yule hana nguvu za kiume yaani hawezi shughuli maalumu
 
Wengi wenu mnaofurahia hapa ni mashabiki wa simba na huo ndio ukweli..mnafikir mmepata pa kuponea kupitia mwakinyo!! Mpo na upumbavu mwingi kichwan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…