Kuna muda mpaka akawa anamsukuma mzunguMwakinyo ana ngumi nyepesi sana na hamudu kasi na nguvu ya huyu Mzungu
Azam HD mzee baba.Mkuu unaangalia via Azam HD au kwa mtandao kupitia simu?
Mguu ulifanyaje sasa? Au walianza na mitama kabla ya vitasa?Mwakinyo alishaanza kumdhibiti Smith ila mguu ukamharibia, ajipange Kwa rematch
kafanya nini huyu mpuuzi mwaki?
Mandonga keshapata la kusemaAfadhali Mandonga..[emoji19][emoji19]
hata mimi nashangaaHuyu Mwankinyo kahongwa ashindwe,kapigwa kiboya mnooo.
Keshaangusha gari kiboya kabisaAnashinda mkuu acha na mimi niwahi
Mwakinyo alishaanza kumdhibiti Smith ila mguu ukamharibia, ajipange Kwa rematch
Ukiniambia kavuta mkwanja nitakuelewa, trick ya kujikwanyua mguu hio.Huyu Mwankinyo kahongwa ashindwe,kapigwa kiboya mnooo.
[emoji23][emoji23][emoji23]wabongo bhanaWamempulizia mwakinyo, hawezi kupigika kizembe hivyo