Hassan Mwakinyo apoteza kwa T.K.O dhidi ya Liam Smith | M&S Bank Arena | Liverpool

Kwa hiyo Hadi Smith naye anamshamgaa hutu jaa mbona naigiza
 
Sasa Mwakinyo naye hivyo viatu alivyo vitumia leo si ndivyo alikuwa anatumia mazoezini.

Ila sio mbaya kapata experience kupigana ktk ulingo mkubwa, ila huyu mzungu wa kawaida hana maajabu.
 
Mwakinyo kapelekwa kwenye ringi, kapelekewa moto kanyoosha mikono inaonekana kama mguu wake ulinasa kwenye kamba tena, refa ikabidi amalize pambano
 
Mwakinyo leo kazingua sana! Daah siku mbaya kwetu!! Uganda tumefungwa na huko Uingereza tumepigwa!
Bora hiyo watu tumestake ada za shule hapa Jumatatu hii hapa

Dah
Tutaambia nini watoto wetu?

Wakuu wa shule je?
 
Kapoteza? Au wamepiga Fitina...

Unampigaje mtu yupo kwenye Kamba?

Unampigaje mtu amenyoosha mkono juu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…