njumu za kosovo
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 3,820
- 9,625
Mzee Mohamed hatukukuona ukilaani pia mauaji yale ya Oct 7 yaliyofanywa na Hamas mbona? Je kwako vile havikua vifo?Haipendezi na si ubinadamu kufurahia kifo cha yeyote awaye yule.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee Mohamed hatukukuona ukilaani pia mauaji yale ya Oct 7 yaliyofanywa na Hamas mbona? Je kwako vile havikua vifo?Haipendezi na si ubinadamu kufurahia kifo cha yeyote awaye yule.
☝🏿UN resolution 1701?Vita vilipiganwa kwa siku 34 katika mwezi wa Julai na Agosti hadi pale Umoja wa Mataifa ilipoingia kati na kuweka makubaliano ya kuweka silaha chini na kumaliza vita.
Hassan Nasrallah mikono yake imejaa damu anastahili hukumu ya kifo ilikuwa ni suala la muda tu.Muda umefika anapambana na bikra 72 sasa labda kishamaliza bikra 22 bado bikra 50 zinamngaja.View attachment 3109802
HASSAN NASRALLAH (1964 – 2024)
Hassan Nasrallah alipokuwa mtoto mdogo sana alikuwa akiwachekesha watu wazima nyumbani kwao.
Ilikuwa pakiadhiniwa na kisha pakakimiwa yeye atatoka mbio kukimbilia jikoni kwa bibi yake na akifika anamvua mtandio aliojitanda bibi yake kichwani na atakuja mbio ukumbini amepiga kilemba mtandio wa bibi yake na atasimama mbele ya safu anataka kusalisha.
Top
Wote watacheka.
Kumbe hii ilikuwa bishara kuwa mtoto Hassan Nasrallah atakapokuwa mkubwa atakuwa kiongozi shujaa na atapendwa sana watu wake na kuogopewa na maadui zake.
Mimi nilichelewa sana kumfahamu Hassan Nasrallah.
Nimekuja kumfahamu Hassan Nasralla kiasi cha miongo miwili iliyopita akiwa na miaka 39.
Kuanzia hapo nikawa nasoma kila kitu kuhusu yeye hadi leo nilipopokea taarifa ya kifo chake.
Hassan Nasrallah mwanae alikufa akiwa katika mapigano na Wayahudi.
Watu walifika nyumbani kwake kumpa pole kwa kifo cha mwanae.
Ilipofika zamu yake kuzungumza alisema maneno haya:
‘’Siku zote mimi nilipokuwa pamoja na nyie niliinamisha chini kichwa changu kwa kuwa nyie wote milikuwa mmetoa mashahidi watoto wenu waliokuwa wamekufa katika vita na Wayahudi.
Mimi sikuwa na mtoto aliyekufa shahidi.
Leo mimi nimetoa shahidi kwa hiyo na mimi kuanzia leo nitanyanyua kichwa changu juu kwa fahari sitojiinamia tena.‘’
Kulikuwa na dhana kuwa Wayahudi hawawezi kushindwa vita.
Vita iliyokuja kumaliza dhana hii ni vita vya mwaka wa 2006 kati ya Hizbullah wakiongozwa na Hassan Nasrallah na Wayahudi.
Vita vilipoanza fikra za wengi katika nchi za Kiarabu zilirejea katika Vita Vya Siku Sita vya mwaka wa 1967 na wengi waliamini kuwa Hizbullah watamalizwa kwa muda mfupi kwa kusagwasagwa na Israel.
Hili halikutokea.
Vita vilipiganwa kwa siku 34 katika mwezi wa Julai na Agosti hadi pale Umoja wa Mataifa ilipoingia kati na kuweka makubaliano ya kuweka silaha chini na kumaliza vita.
Wayahudi kwa mara ya kwanza katika historia ya mapambano yao na Waarabu walionekana katika stesheni nyingi kubwa za televisheni duniani wakirudi Israel kutoka uwanja wa mapambano wameinamisha chini vichwa vyao.
Israel ilikuwa kwa mara ya kwanza imeonja kipigo katika vita na Waarabu.
Hapakuwa na shamrashamra ziliyozoeleka za ushindi dhidi ya majeshi ya Kiarabu.
Hizbullah ilikuwa imevunja, ‘’myth,’’ ile fikra ya kuwa Wayahudi hawawezekani.
Hassan Nasrallah kiongozi wa Hizbullah alikuwa akiuliza wakati wa vita:
‘’Wako wapi askari wa Kiyahudi mbona hatuwaoni katika uwanja wa vita?
Tunachoshuhudia ni ndege za Kiyahudi wakipiga mabomu nyumba za raia.’’
Baada ya vita, ilipofika wakati wa kubadilishana mateka Wayahudi walipata fadhaa zaidi pale walipokuwa wao wanapokea majeneza ya askari wao waliouliwa vitani na Hizbullah na Israel ikiwaachia huru askari hai wa Hizbullah.
Kwa kifupi sana huyu ndiye Hassan Nasrallah kwa wale ambao hawakuwa wanamfahamu.
Njinjo...Unajiangusha unapoleta andiko kama hili
Njumu...Mzee Mohamed hatukukuona ukilaani pia mauaji yale ya Oct 7 yaliyofanywa na Hamas mbona? Je kwako vile havikua vifo?
washia ambao kimsingi ni Iran ndio wanakoleza mgogoro kwa kuwachochea makundi ya kupigana na Israel.Wapigwe mabomu tu, Lebanoni ilikua nchi njema sana ya kikristo WASHIA wameiharibu sana
waajemi (Iran) kupitia imani yao ya ushia inawatia wazimu wanaamini wayahudi hawastahili kuishi. isingelikua wao mpaka leo pale Palestine pangekua pamestawi fresh kama UAE, Qatar n.kWote watasurrender ni suala la muda tu, Mafaraoh waliona mbali wakaamua waingie mkataba mapema saivi hawasumbuani na Israel.
Wanaosema kuwa Israel ilishindwa ile vita ni waislamPaki...
Wanaosema kuwa Israel ilishindwa vita ile ni wataalamu wa mambo ya vita.
washia mara sunni😀Wapigwe mabomu tu, Lebanoni ilikua nchi njema sana ya kikristo WASHIA wameiharibu sana
Kama kawaida mzee side na ngano zake🤣😝😂😅View attachment 3109802
HASSAN NASRALLAH (1964 – 2024)
Hassan Nasrallah alipokuwa mtoto mdogo sana alikuwa akiwachekesha watu wazima nyumbani kwao.
Ilikuwa pakiadhiniwa na kisha pakakimiwa yeye atatoka mbio kukimbilia jikoni kwa bibi yake na akifika anamvua mtandio aliojitanda bibi yake kichwani na atakuja mbio ukumbini amepiga kilemba mtandio wa bibi yake na atasimama mbele ya safu anataka kusalisha.
Top
Wote watacheka.
Kumbe hii ilikuwa bishara kuwa mtoto Hassan Nasrallah atakapokuwa mkubwa atakuwa kiongozi shujaa na atapendwa sana watu wake na kuogopewa na maadui zake.
Mimi nilichelewa sana kumfahamu Hassan Nasrallah.
Nimekuja kumfahamu Hassan Nasralla kiasi cha miongo miwili iliyopita akiwa na miaka 39.
Kuanzia hapo nikawa nasoma kila kitu kuhusu yeye hadi leo nilipopokea taarifa ya kifo chake.
Hassan Nasrallah mwanae alikufa akiwa katika mapigano na Wayahudi.
Watu walifika nyumbani kwake kumpa pole kwa kifo cha mwanae.
Ilipofika zamu yake kuzungumza alisema maneno haya:
‘’Siku zote mimi nilipokuwa pamoja na nyie niliinamisha chini kichwa changu kwa kuwa nyie wote milikuwa mmetoa mashahidi watoto wenu waliokuwa wamekufa katika vita na Wayahudi.
Mimi sikuwa na mtoto aliyekufa shahidi.
Leo mimi nimetoa shahidi kwa hiyo na mimi kuanzia leo nitanyanyua kichwa changu juu kwa fahari sitojiinamia tena.‘’
Kulikuwa na dhana kuwa Wayahudi hawawezi kushindwa vita.
Vita iliyokuja kumaliza dhana hii ni vita vya mwaka wa 2006 kati ya Hizbullah wakiongozwa na Hassan Nasrallah na Wayahudi.
Vita vilipoanza fikra za wengi katika nchi za Kiarabu zilirejea katika Vita Vya Siku Sita vya mwaka wa 1967 na wengi waliamini kuwa Hizbullah watamalizwa kwa muda mfupi kwa kusagwasagwa na Israel.
Hili halikutokea.
Vita vilipiganwa kwa siku 34 katika mwezi wa Julai na Agosti hadi pale Umoja wa Mataifa ilipoingia kati na kuweka makubaliano ya kuweka silaha chini na kumaliza vita.
Wayahudi kwa mara ya kwanza katika historia ya mapambano yao na Waarabu walionekana katika stesheni nyingi kubwa za televisheni duniani wakirudi Israel kutoka uwanja wa mapambano wameinamisha chini vichwa vyao.
Israel ilikuwa kwa mara ya kwanza imeonja kipigo katika vita na Waarabu.
Hapakuwa na shamrashamra ziliyozoeleka za ushindi dhidi ya majeshi ya Kiarabu.
Hizbullah ilikuwa imevunja, ‘’myth,’’ ile fikra ya kuwa Wayahudi hawawezekani.
Hassan Nasrallah kiongozi wa Hizbullah alikuwa akiuliza wakati wa vita:
‘’Wako wapi askari wa Kiyahudi mbona hatuwaoni katika uwanja wa vita?
Tunachoshuhudia ni ndege za Kiyahudi wakipiga mabomu nyumba za raia.’’
Baada ya vita, ilipofika wakati wa kubadilishana mateka Wayahudi walipata fadhaa zaidi pale walipokuwa wao wanapokea majeneza ya askari wao waliouliwa vitani na Hizbullah na Israel ikiwaachia huru askari hai wa Hizbullah.
Kwa kifupi sana huyu ndiye Hassan Nasrallah kwa wale ambao hawakuwa wanamfahamu.
Mzee Said wewe umeandika wapi historia ya waliyofanyiwa wayahudi? Kama ni kitabu weka title yake hapa kama kipo online weka linkPaki...
Kwa nini unanikejeli?
Unakusudia katika kunikejeli kuwa niende Beirut kuomboleza kifo cha Hassan Nasrallah?
Kwa nini hukusema niende Ghaza?
Au unadhani wanaouawa Ghaza hawastahili kuombolezwa na mie?
Haipendezi na si ubinadamu kufurahia kifo cha yeyote awaye yule.
Nasomesha historia ya Holocaust na yale waliyafanyiwa Wayahudi Auschwitz na Wajerumani katika Vita Vya Pili Vya Dunia (1939 - 1945).
Nimeandika mengi katika historia hiyo na kujadiliana na wengi.
Unaijua historia hii?
Salari,Mzee Said wewe umeandika wapi historia ya waliyofanyiwa wayahudi? Kama ni kitabu weka title yake hapa kama kipo online weka link
Unasomesha historia ya holocaust wapi?