Nyio...
Nimeandika historia za wazalendo wengi sana ambao si Waislam.
Pitia name index ya kitabu cha Abdul Sykes utawakuta: Dr. Joseph Mutahangarwa, Dr. Vedasto Kyaruzi, Dr. Wilbard Mwanjisi, Dr. Michael Lugazia, Dr. Luciano Tsere, Steven Mhando, Joseph Mhando, Patrick Aoko, Dome Budohi, Denis Phombeah, John Rupia, Julius Nyerere, Joseph Nyerere...
Nimehariri kitabu cha Julius Nyerere hicho hapo chini.
Kuna watu waliniwekea shinikizo niwaandike wale vijana kama mamluki katika jeshi la Israel na wakaniletea na picha zao wamebeba bunduki.
Jibu langu kwao lilikuwa hawa vijana wamekufa tuwahurumie wao na wazazi wao.