Jagina
JF-Expert Member
- Jan 29, 2019
- 8,428
- 4,022
Mashia ni watu wapumbavu sana na wajinga tu
Itikadi za kishia ni tofauti mna wao si Waislamu ukikataa hili njoo na hoja
Kama si waislamu inakuwaje wanaruhusiwa kuingia Makka na Madina kuhiji ??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mashia ni watu wapumbavu sana na wajinga tu
Itikadi za kishia ni tofauti mna wao si Waislamu ukikataa hili njoo na hoja
Ifuatayo ni historia ya netanyau
Binafsi nimemfahamu Benjamin netanyau tangu miaka ya 90
Nilisoma historia yake wanasema toka akiwa mtoto alikuwa anatishia watu sana
Kuna wakati alikuwa anaenea jikoni anapaka masizi usoni anakimbilia walipo watoto wenzake basi wakawa wanamuogopa sana
Kiufupi hata jina lake alipewa kwa kufananishwa na paka, mnyama anayetisha usiku, jasiri gizani na anayeaminika kuwa na roho ngumu saba.
Mwisho kabisa inasemekana Netanyau tangu azaliwe hajawahi kucheka
Mbona unatuimbia kaswida mzee mmebaki kuikumbuka 2006 kila wakati safari hii Benjamin Netanyahuu hacheki na kima amesema atawasaga mnaojaribu kuwaumiza raia wa Israel
Kifo sio kizuri hasa kama humwamini Yesu
Hao wote ni wapinga kristo
Ila kuifuta israel haiwezekani
Sijajua kuhusu upande wa pili
Nafikiri amewaona sasa.Wako wapi askari wa Kiyahudi mbona hatuwaoni katika uwanja wa vita?
Wanatumia iyo turufu yao ya kujiita waislamu lkn kiitikadi sio watu wazuri kabisaaaKama si waislamu inakuwaje wanaruhusiwa kuingia Makka na Madina kuhiji ??
Naelewa mafundisho yao mengi ni mtihani mkubwa lakini bado wanayo kalimaWanatumia iyo turufu yao ya kujiita waislamu lkn kiitikadi sio watu wazuri kabisaaa
Ok kwa kujuaNaelewa mafundisho yao mengi ni mtihani mkubwa lakini bado wanayo kalima
Mzee wangu hebu telete na sakata la ngorongoro la wamasaiSalari,
![]()
MAZOMBIE ''POLISI SHIRIKISHI'' WANAPOFANANA NA SS ASKARI WATESAJI WA ADOLF HITLER
Salma Said 5 hrs · Jeshi la Polisi Zanzibar limetoa onyo kali kwa madaktari wanaowahudumia watu wanaokwenda hospitali baada ya kup...mohamedsaidsalum.blogspot.com
''SS askari watesaji wa Hitler walikuta kikundi cha Wayahudi katika kambi ya mateso na mauaji Auschwitz, Poland wakati wa Vita Vya Pili Vya Dunia, kinatoka kufanya kazi basi wakakiingilia kukipiga kwa magongo na vitako vya bunduki.
Wayahudi walikuwa hawawezi kujibu mashambulizi yale kwani kufanya hivyo mtu anapigwa risasi hapo hapo kwa hiyo hali ilikuwa heri nusu shari kupigwa ukabaki na uhai wako kuliko shari kamili kumkabili adui ukauliwa.
Baada ya kuwapiga kefu yao wale SS wakawauliza wale Wayahudi,''Mnajua kwa nini tunakupigeni?''
Wayahudi wakajibu kuwa hawakuwa wanajua. ‘’Tunakupigeni kwa sababu tunasikia raha kukupigeni.’’
Hili ndilo lilikuwa jibu la askari wa Hitler.''
Wamasai wengi ni walutheriMzee wangu hebu telete na sakata la ngorongoro la wamasai
Au sakata lile halijawaingia
Ova
Mrangi,Mzee wangu hebu telete na sakata la ngorongoro la wamasai
Au sakata lile halijawaingia
Ova
Hii ndio historia unayoiweza.View attachment 3109802
HASSAN NASRALLAH (1964 – 2024)
Hassan Nasrallah alipokuwa mtoto mdogo sana alikuwa akiwachekesha watu wazima nyumbani kwao.
Ilikuwa pakiadhiniwa na kisha pakakimiwa yeye atatoka mbio kukimbilia jikoni kwa bibi yake na akifika anamvua mtandio aliojitanda bibi yake kichwani na atakuja mbio ukumbini amepiga kilemba mtandio wa bibi yake na atasimama mbele ya safu anataka kusalisha.
Top
Wote watacheka.
Kumbe hii ilikuwa bishara kuwa mtoto Hassan Nasrallah atakapokuwa mkubwa atakuwa kiongozi shujaa na atapendwa sana watu wake na kuogopewa na maadui zake.
Mimi nilichelewa sana kumfahamu Hassan Nasrallah.
Nimekuja kumfahamu Hassan Nasralla kiasi cha miongo miwili iliyopita akiwa na miaka 39.
Kuanzia hapo nikawa nasoma kila kitu kuhusu yeye hadi leo nilipopokea taarifa ya kifo chake.
Hassan Nasrallah mwanae alikufa akiwa katika mapigano na Wayahudi.
Watu walifika nyumbani kwake kumpa pole kwa kifo cha mwanae.
Ilipofika zamu yake kuzungumza alisema maneno haya:
‘’Siku zote mimi nilipokuwa pamoja na nyie niliinamisha chini kichwa changu kwa kuwa nyie wote milikuwa mmetoa mashahidi watoto wenu waliokuwa wamekufa katika vita na Wayahudi.
Mimi sikuwa na mtoto aliyekufa shahidi.
Leo mimi nimetoa shahidi kwa hiyo na mimi kuanzia leo nitanyanyua kichwa changu juu kwa fahari sitojiinamia tena.‘’
Kulikuwa na dhana kuwa Wayahudi hawawezi kushindwa vita.
Vita iliyokuja kumaliza dhana hii ni vita vya mwaka wa 2006 kati ya Hizbullah wakiongozwa na Hassan Nasrallah na Wayahudi.
Vita vilipoanza fikra za wengi katika nchi za Kiarabu zilirejea katika Vita Vya Siku Sita vya mwaka wa 1967 na wengi waliamini kuwa Hizbullah watamalizwa kwa muda mfupi kwa kusagwasagwa na Israel.
Hili halikutokea.
Vita vilipiganwa kwa siku 34 katika mwezi wa Julai na Agosti hadi pale Umoja wa Mataifa ilipoingia kati na kuweka makubaliano ya kuweka silaha chini na kumaliza vita.
Wayahudi kwa mara ya kwanza katika historia ya mapambano yao na Waarabu walionekana katika stesheni nyingi kubwa za televisheni duniani wakirudi Israel kutoka uwanja wa mapambano wameinamisha chini vichwa vyao.
Israel ilikuwa kwa mara ya kwanza imeonja kipigo katika vita na Waarabu.
Hapakuwa na shamrashamra ziliyozoeleka za ushindi dhidi ya majeshi ya Kiarabu.
Hizbullah ilikuwa imevunja, ‘’myth,’’ ile fikra ya kuwa Wayahudi hawawezekani.
Hassan Nasrallah kiongozi wa Hizbullah alikuwa akiuliza wakati wa vita:
‘’Wako wapi askari wa Kiyahudi mbona hatuwaoni katika uwanja wa vita?
Tunachoshuhudia ni ndege za Kiyahudi wakipiga mabomu nyumba za raia.’’
Baada ya vita, ilipofika wakati wa kubadilishana mateka Wayahudi walipata fadhaa zaidi pale walipokuwa wao wanapokea majeneza ya askari wao waliouliwa vitani na Hizbullah na Israel ikiwaachia huru askari hai wa Hizbullah.
Kwa kifupi sana huyu ndiye Hassan Nasrallah kwa wale ambao hawakuwa wanamfahamu.
Kitali,Hii ndio historia unayoiweza.
Kitali,
Sana kiasi nimezungumza State University of Zanzibar, IDM Mzumbe, University of Dar-es-Salaam, University of Johannesburg, University of Ibadan, Khartoum University, University of Iowa, Northwestern University na Zentrum Moderner Orient.
Nimetiwa katika Cambridge Journal of African History na Dictionary of African Biography.
Niko kama rejea katika vitabu vingi sana pamoja na kitabu cha maisha ya Julius Nyerere.
Nimehojiwa na vyombo vingi sana hapa nyumbani na vya nje: BBC, VoA, DW, SABC na Radio Tehran.
Nimekutana na wasomi kama Prof. Ali Mazrui, Prof. Michael Lofchie, Prof. Abdilatif Abdulla, Prof. James Brennan, Prof. James Giblin, Prof. Mohamed Bakari, Prof. Ahmed Muhidin, Prof. Mohamed Khalil Timamy, Prof. Kai Kresse...wengi sana wengine hatujaonana ila tunaandikiana.
Hawa wanatambua mchango wangu katika historia ya Tanzania.
Nadhani tumefahamiana.
View: https://youtu.be/wjvIkkbJBR8?si=skp-JlRYBo0R1tv6
Kitali,Bro unaweza kuitwa popote lakin nataka nikuambie kwenye jukwaa la wasomi hata mpuuzi humpa nafasi maana wao wanajifunza. So kwasisi unaweza kuona ni jambo kubwa maana ukisikia University unahisi ni mbingu lakin kwa wanaofahamu how things work we ni wale wazee waliowekeza kwenye chuki tu nothings more