Hassan Nasrallah (1964 - 2024)

Vita vilipiganwa kwa siku 34 katika mwezi wa Julai na Agosti hadi pale Umoja wa Mataifa ilipoingia kati na kuweka makubaliano ya kuweka silaha chini na kumaliza vita.
☝🏿UN resolution 1701?

Hiyo ndiyo inayowapa jeuri Wayahudi leo hii kuingamiza Lebanon?
 
Sasa hivi wavaaa madela wamejificha huku Israel mtoa roho akiwacheki ...
 

Attachments

  • downloadfile-169.jpg
    22.1 KB · Views: 5
Hassan Nasrallah mikono yake imejaa damu anastahili hukumu ya kifo ilikuwa ni suala la muda tu.Muda umefika anapambana na bikra 72 sasa labda kishamaliza bikra 22 bado bikra 50 zinamngaja.
 
Wapigwe mabomu tu, Lebanoni ilikua nchi njema sana ya kikristo WASHIA wameiharibu sana
washia ambao kimsingi ni Iran ndio wanakoleza mgogoro kwa kuwachochea makundi ya kupigana na Israel.
wanachosahau dunia ya sasa mwenye teknolojia ndiye mshindi. ingekua vita vya zama za mawe nakubali wayahudi wangechapika. kwa dunia tunayoishi sasa waarabu wataendelea kufa kama kuku kideli kwa kutiwa ujinga na muajemi Iran. wangeweza kuishi kwa amani na kwa kustahimiliana bila bugdha.
 
Allah anazidi tu kuaibishwa na Mungu wa israel mtoa roho.
Mpaka nimepata wazo la kumtafuta huyo Mungu wa waisrael namimi nikamuabudu.
 
ila kauliwa na wayahudi, kwanini umeamua kuchukua tu part hiyo... ambayo alizungumza kwa maneno ?




je ameuwawa na nani ?
 
Wote watasurrender ni suala la muda tu, Mafaraoh waliona mbali wakaamua waingie mkataba mapema saivi hawasumbuani na Israel.
waajemi (Iran) kupitia imani yao ya ushia inawatia wazimu wanaamini wayahudi hawastahili kuishi. isingelikua wao mpaka leo pale Palestine pangekua pamestawi fresh kama UAE, Qatar n.k
 
Kama kawaida mzee side na ngano zake🤣😝😂😅
 
Mzee Said wewe umeandika wapi historia ya waliyofanyiwa wayahudi? Kama ni kitabu weka title yake hapa kama kipo online weka link

Unasomesha historia ya holocaust wapi?
 
KUPANDA NA HATIMAYE TAMATI YA GENGE LA HASSAN NASRALLAH

Mfahamu katibu mkuu wa Chama cha Mungu yaani Hezbollah kwa jina Nasrallah aliyefikiwa baada ya kuhusika na umwagaji wa damu mkubwa nchini Lebanon kwa kukubali kuwa kikaragosi cha Iran na Syria, ambapo Iran ilisogeza mpaka wake halisi hadi kusini ya Lebanon kupata urahisi wa kuishambulia Israel kwa kutumia mambo mamluki


View: https://m.youtube.com/watch?v=ovezVfPAu9c
Hezbollah chama cha mungu kiliipiku serikali ya Lebanon kwa vitisho na kujipenyeza ndani ya serikali ya Lebanon, kupata viti bungeni na ktk baraza la mawaziri kwa mtutu wa bunduki chini ya uongozi wa miaka 30 wa Nasrallah kama katibu mkuu wa Hezbollah.

Kufikia hapo serikali ya Lebanon ikakegea kwa vitisho vilivyoongozwa na Nasrallah kupitia vikosi vya mgambo mamluki waliooitikia amri kutoka Tehran Iran badala ya maelekezo ya serikali ya Lebanon iliyopo Beirut.

Ilipofikia hali hiyo ya bunge, serikali na nchi ya Lebanon kutekwa nyara na Nasrallah, raia wa Lebanon waliingia mtaani kuandamana kupinga kuwa mateka ndani ya nchi yao.


Kwa wingi wao raia wa Lebanon mwezi November 2019 walijitokeza kupinga serikali yao iliyotekwa na Nasrallah, huku wakibeba bendera zenye nembo ya mti wa mzeituni alama ya taifa huru la Lebanon.

Leo tarehe 29 September 2024 wananchi wa Lebanon wameamka na tumaini kubwa la kuwa muda si mrefu watakuwa huru baada Nasrallah pamoja na viongozi wa Hezbollah kufikiwa na mkono wa IDF jeshi la Ulinzi la Israel na vyombo vya intelejensia vya Israel.

Ambapo makada, mgambo wa Hezbollah walifikiwa kwa vilipuzi vya pagers na walkie-talkie (radio za mawasiliano ya mkononi) kuliposababisha maelfu ya wafuasi wa Hezbollah kuheruhiwa nyuso, macho na sehemu zao za siri mwilini huku wakibakiwa na makovu mwilini mwao.

Tarehe 27 September 2024 muda wa saa 12 na dakika 20 jioni magharibi katibu mkuu wa Hezbollah pamoja na magaidi wenzie waliokuwa wamejichimbia katika vyumba chini ya majengo ya ardhi walivurumushiwa tani 80 za mabomu kombora janja kutoka ndege za F15 za jeshi la anga la Israeli.

Nasrallah akiamini kuwa siku hiyo waziri mkuu wa Israeli akiwa safarini na kutegemewa kuhutubia kikao cha baraza la umoja wa mataifa UNGA 79 kinachojumuisha viongozi wa mataifa nchi wanachama wa UN hakuna kitu kitawatokea katika chimbo lao la handaki wakioanga mipango yao ovu na propaganda za kuzisambaza kuighilibu dunia na nchi za kiarabu.

Nasrallah na viongozi wa genge lake waliobakia hawakujua kuwa wameingizwa katika mtego jioni hiyo, na ghafla ikawa ni siku yao ya mwisho kuwepo ulimwenguni.

Na sherehe pia shamrashamra zilisikika eneo lote la Mashariki ya kati kufuatia pigo kubwa walilopigwa Hezbollah.
 
Kifo sio kizuri hasa kama humwamini Yesu
Hao wote ni wapinga kristo
Ila kuifuta israel haiwezekani
Sijajua kuhusu upande wa pili
 
Ifuatayo ni historia ya netanyau
Binafsi nimemfahamu Benjamin netanyau tangu miaka ya 90
Nilisoma historia yake wanasema toka akiwa mtoto alikuwa anatishia watu sana

Kuna wakati alikuwa anaenea jikoni anapaka masizi usoni anakimbilia walipo watoto wenzake basi wakawa wanamuogopa sana
Kiufupi hata jina lake alipewa kwa kufananishwa na paka, mnyama anayetisha usiku, jasiri gizani na anayeaminika kuwa na roho ngumu saba.
Mwisho kabisa inasemekana Netanyau tangu azaliwe hajawahi kucheka
 
Mzee Said wewe umeandika wapi historia ya waliyofanyiwa wayahudi? Kama ni kitabu weka title yake hapa kama kipo online weka link

Unasomesha historia ya holocaust wapi?
Salari,


''SS askari watesaji wa Hitler walikuta kikundi cha Wayahudi katika kambi ya mateso na mauaji Auschwitz, Poland wakati wa Vita Vya Pili Vya Dunia, kinatoka kufanya kazi basi wakakiingilia kukipiga kwa magongo na vitako vya bunduki.

Wayahudi walikuwa hawawezi kujibu mashambulizi yale kwani kufanya hivyo mtu anapigwa risasi hapo hapo kwa hiyo hali ilikuwa heri nusu shari kupigwa ukabaki na uhai wako kuliko shari kamili kumkabili adui ukauliwa.

Baada ya kuwapiga kefu yao wale SS wakawauliza wale Wayahudi,''Mnajua kwa nini tunakupigeni?''

Wayahudi wakajibu kuwa hawakuwa wanajua. ‘’Tunakupigeni kwa sababu tunasikia raha kukupigeni.’’

Hili ndilo lilikuwa jibu la askari wa Hitler.''


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…