Hassan Nasrallah (1964 - 2024)

Mashia ni watu wapumbavu sana na wajinga tu
Itikadi za kishia ni tofauti mna wao si Waislamu ukikataa hili njoo na hoja

Kama si waislamu inakuwaje wanaruhusiwa kuingia Makka na Madina kuhiji ??
 

 
Mbona unatuimbia kaswida mzee mmebaki kuikumbuka 2006 kila wakati safari hii Benjamin Netanyahuu hacheki na kima amesema atawasaga mnaojaribu kuwaumiza raia wa Israel

Kifo sio kizuri hasa kama humwamini Yesu
Hao wote ni wapinga kristo
Ila kuifuta israel haiwezekani
Sijajua kuhusu upande wa pili


Yesu yupi yule mnayetuambia aliuliwa na akina benjanyau, au yule biblia ilioandika kuwa alizaliwa na ukoo wa mwanaharamu ambaye hawezi kuingia katika ufalme wa mungu ??
au yule aliyekamatwa na kijana akiwa uchi na chupi begani kule kwenye vichaka vya bustani ya gesthemane ??
 
Wanatumia iyo turufu yao ya kujiita waislamu lkn kiitikadi sio watu wazuri kabisaaa
Naelewa mafundisho yao mengi ni mtihani mkubwa lakini bado wanayo kalima
 
Shujaa amekwenda na maji.........

Zilongwa mbali, zitendwa mbali.......
 
Huyo Hassan Nasrallah alikuwa ni mtu muovu, mhalifu, adui wa Allah na Mtume wake, adui wa Sunnah, adui wa Maswahaba (Allah awaridhie wote) na Mama wa waumini Wakeze Mtume (Allah awaridhie wote). Muuaji wa Waislam nchini Syria na Lebanon. Allah amejaalia kifo chake kupitia mikono ya dhalimu mwengine, mzayuni. Kifo chake ni ushindi kwa Uislam.

Al hamdulillah.

Imam Malik رحمه الله said :

"Allah will take revenge on the oppressor with an oppressor, and then He will take revenge on both of them."

[Manh Al-Jalil, 9/195]
 
Kichuguu,
Mdomo haumkatai bwana wake.

Historia ya Hassan Nasrallah inafahamika ikianza kama mpiganaji katika vita vya wenyewe kwa wenyewe vya Lebanon mwaka wa 1975 na katika kundi la Ammal hadi kufikia kuwa kiongozi wa Hizbullah na kuwatoa Wayahudi Lebanon.

Historia ya Hassan Nasrallah inafahamika vilevile katika vita vya mwaka wa 2006 akiwa kiongozi wa Hizbullah alivyopambana na Wayahudi na kushinda.

''Vita vilipiganwa kwa siku 34 katika mwezi wa Julai na Agosti hadi pale Umoja wa Mataifa ilipoingia kati na kuweka makubaliano ya kuweka silaha chini na kumaliza vita.

Wayahudi kwa mara ya kwanza katika historia ya mapambano yao na Waarabu walionekana katika stesheni nyingi kubwa za televisheni duniani wakirudi Israel kutoka uwanja wa mapambano wameinamisha chini vichwa vyao.

Israel ilikuwa kwa mara ya kwanza imeonja kipigo katika vita. Hapakuwa na shamrashamra ziliyozoeleka za ushindi dhidi ya majeshi ya Kiarabu.

Hizbullah ilikuwa imevunja, ‘’myth,’’ ile fikra ya kuwa Wayahudi hawawezekani.

Hassan Nasrallah kiongozi wa Hizbullah alikuwa akiuliza wakati wa vita, ‘’Wako wapi askari wa Kiyahudi mbona hatuwaoni katika uwanja wa vita?

Tunachoshuhudia ni ndege za Kiyahudi wakipiga mabomu nyumba za raia.’’

Baada ya vita, ilipofika wakati wa kubadilishana mateka Wayahudi walipata fadhaa zaidi pale walipokuwa wao wanapokea majeneza ya askari wao waliouliwa vitani na Hizbullah na wao wakiwaachia huru askari hai wa Hizbullah.''

Sidhani kama historia hii yuko wa kuikejeli.


Notes zangu nilipozungumza State University of Zanzibar

 
Mzee wangu hebu telete na sakata la ngorongoro la wamasai
Au sakata lile halijawaingia

Ova
 
Mzee wangu hebu telete na sakata la ngorongoro la wamasai
Au sakata lile halijawaingia

Ova
Wamasai wengi ni walutheri
Wamasai Vs Waarabu
Waarabu wengi ni .....

Niendelee kuderive formula?
 
Hii ndio historia unayoiweza.
 
Hii ndio historia unayoiweza.
Kitali,
Sana kiasi nimezungumza State University of Zanzibar, IDM Mzumbe, University of Dar-es-Salaam, University of Johannesburg, University of Ibadan, Khartoum University, University of Iowa, Northwestern University na Zentrum Moderner Orient.

Nimetiwa katika Cambridge Journal of African History na Dictionary of African Biography.

Niko kama rejea katika vitabu vingi sana pamoja na kitabu cha maisha ya Julius Nyerere.

Nimehojiwa na vyombo vingi sana hapa nyumbani na vya nje: BBC, VoA, DW, SABC na Radio Tehran.

Nimekutana na wasomi kama Prof. Ali Mazrui, Prof. Michael Lofchie, Prof. Abdilatif Abdulla, Prof. James Brennan, Prof. James Giblin, Prof. Mohamed Bakari, Prof. Ahmed Muhidin, Prof. Mohamed Khalil Timamy, Prof. Kai Kresse...wengi sana wengine hatujaonana ila tunaandikiana.

Hawa wanatambua mchango wangu katika historia ya Tanzania.

Nadhani tumefahamiana.


View: https://youtu.be/wjvIkkbJBR8?si=skp-JlRYBo0R1tv6
 
Bro unaweza kuitwa popote lakin nataka nikuambie kwenye jukwaa la wasomi hata mpuuzi humpa nafasi maana wao wanajifunza. So kwasisi unaweza kuona ni jambo kubwa maana ukisikia University unahisi ni mbingu lakin kwa wanaofahamu how things work we ni wale wazee waliowekeza kwenye chuki tu nothings more
 
Kitali,
Ikiwa unaona mimi naalikwa kuzungumza vyuoni kwa upuuzi wangu mimi niseme nini?

JF wamenichagua mara mbili mfululizo kama Mwandishi Bora.

Hapa napo nimechaguliwa kwa sifa ya upuuzi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…