Unaweza kuwa mwandishi bora wa story za kiislamu chiefKitali,
Ikiwa unaona mimi naalikwa kuzungumza vyuoni kwa upuuzi wangu mimi niseme nini?
JF wamenichagua mara mbili mfululizo kama Mwandishi Bora.
Hapa napo nimechaguliwa kwa sifa ya upuuzi?
Kitali,Unaweza kuwa mwandishi bora wa story za kiislamu chief
Unajua hata mashoga wanapewa nishani siku kutoka vyuo hivyo hivyo sheikh hali ni mbaya sanaKitali,
Hakika haya usemayo.
Waislam wa Tanzania wamenipa nishani tatu kwa mchango wangu katika kuiokoa historia ya uhuru wa Tanganyika kwa kuandika kitabu: "The Life and Times of Abdulwahid Sykes (1924 - 1968) The Untold Story of the Muslim Struggle Against British Colonialism in Tanganyika," Minerva Press, London 1998.
Kitabu hiki kimechapwa mara nne.
JF kama nilivyokueleza wamenichagua Mwandishi Bora Jukwaa la Historia kwa miaka miwili mfululizo.
Halikadha nimeshirikishwa na Oxford University Press, Nairobi na Oxford University Press, New York na Havard katika miradi miwili ya kuandika historia ya Afrika.
Katika miradi hii yote wamechapa kazi zangu.
Yapo mengi.
Kitali,Unajua hata mashoga wanapewa nishani siku kutoka vyuo hivyo hivyo sheikh hali ni mbaya sana
Kumbe Hata wewe ulipewa ??Unajua hata mashoga wanapewa nishani siku kutoka vyuo hivyo hivyo sheikh hali ni mbaya sana
wewe mbona hujaleta historia yako ?? hata ya biblia inakushinda ??Hii ndio historia unayoiweza.
Hata wale vijana wetu wawili waliouliwa na Hamas kweli umekosa kuchangia!Njumu...
Kweli sikulani.
Si kawaida yangu.
Ikiwa nina la kuchangia huandika.
Sina nabakia kimya.
Wale vijana wa Nabii wenu Tito?Hata wale vijana wetu wawili waliouliwa na Hamas kweli umekosa kuchangia!
Nyio...Hata wale vijana wetu wawili waliouliwa na Hamas kweli umekosa kuchangia!
Usinge weza kuandika kwa sababu wale vijana wetu waliouwawa na magaidi sio imani yako.Nyio...
Ikiwa mimi sijaandika basi wewe andika itakuwa vyema.
Nyio...Usinge weza kuandika kwa sababu wale vijana wetu waliouwawa na magaidi sio imani yako.
Mimi nimezungumzia Hamas na vijana wetuNyio...
Nimeandika historia za wazalendo wengi sana ambao si Waislam.
Pitia name index ya kitabu cha Abdul Sykes utawakuta: Dr. Joseph Mutahangarwa, Dr. Vedasto Kyaruzi, Dr. Wilbard Mwanjisi, Dr. Michael Lugazia, Dr. Luciano Tsere, Steven Mhando, Joseph Mhando, Patrick Aoko, Dome Budohi, Denis Phombeah, John Rupia, Julius Nyerere, Joseph Nyerere...
Nimehariri kitabu cha Julius Nyerere hicho hapo chini.
Kuna watu waliniwekea shinikizo niwaandike wale vijana kama mamluki katika jeshi la Israel na wakaniletea na picha zao wamebeba bunduki.
Jibu langu kwao lilikuwa hawa vijana wamekufa tuwahurumie wao na wazazi wao.
Pole sanaWale vijana wa Nabii wenu Tito?
Pole sana
Nyio...Mimi nimezungumzia Hamas na vijana wetu
Mzee huo ni uongo tuonyeshe hizo picha!Nyio...
Nami nimekueleza kuwa ninliweka staha kwa marehemu hawa na kwa wazazi wao.
Hata zile picha zao wamebeba bunduki sikuzihifadhi katika Maktaba.
Hii ndiyo sababu sikuandika chochote kuhusu vijana wale.
Nyio...Mzee huo ni uongo tuonyeshe hizo picha!