Hassan Rehani Bitchuka: Fundi wa muziki wa dansi, sauti ya kinanda. Yu wapi huyu mtaalam wakuu?

Hassan Rehani Bitchuka: Fundi wa muziki wa dansi, sauti ya kinanda. Yu wapi huyu mtaalam wakuu?

Bitchuka kwasasa yupo nyumbani kwake nimgonjwa anasumbuliwa na presha ya macho jicho lake moja likiwa limeharibika kabisa hivyo anahitaji sana msaada wenu wahali na Mali!
Looo, tupe details zaidi mkuu,
 
Bitchuka kwasasa yupo nyumbani kwake nimgonjwa anasumbuliwa na presha ya macho jicho lake moja likiwa limeharibika kabisa hivyo anahitaji sana msaada wenu wahali na Mali!
Yaan mtu akitaka kutuma msaada anatuma kwa muhusika yupi au kwa bitchuka mwenyewe,na pia anaishi wapi kama fans wake wakitaka kumjulia hali,.
 
Ikiwezekana uanzishwe uzi maalum humu kwaajili ya kumsaidia gwiji huyu ktk mapito yake anayopitia, bt itapendeza kama contacts zikawa zake mwenyewe moja kwa moja.
 
Bitchuka yu Mgonjwa, anahitaji maombi na msaada wa Wadau.
 
Aisee nimejikuta nikimkumbuka sana huyu fundi wa muziki wa dansi aliyepata kuvuma sana kwenye muziki wa dansi na nyimbo kadhaa zilizokonga vilivyo nyoyo zetu.

Yu wapi gwiji huyu?
mkuu nakumbuka wimbo flani hivi mtu anaomba alafu anasema 'bitchuka kazi kwako' alafu bitchuka anaimba 'ukitaka tuelewane na mimi' ule wimbo gani mkuu.
 
Kama ni michango ielekezwe kwake moja kwa moja.......Hivi wadau wa muziki ,vyombo vya wasanii , nk wanafanya nini ...hivi hawajiulizi magwiji kama hawa wanapotea kienyeji namna hii?
 
Huo wimbo unaitwa Shukran kwa Mjomba.

"Ukitaka tuelewane na mimi, muondoe huko uliko oohh" ×2
"Atakaa mpaka lini kilakitu anakutegemea, ...........muondoe eehh eee lelelee muondoe eehh lelelelele mundoeee"

Hii hapa ilikuwa Ochestra Safari Sound na waliimba na Marehemu Gurumo pia.
 
Back
Top Bottom